Featured Stories / News

VIONGOZI WA VIJANA,CHINI YA UONGOZI WA SHIRIKA LA YOUNG DREAMS WAANDAA KIKAO CHA KUTOA HAMASA KWA VIJANA WA ILLAUT KUHUSIANA NA SWALA LA MIMBA ZA UTOTONI.

Na Isaac Waihenya Kufuatia kisa cha hivi maajuzi ambapo mtoto wa siku moja alipatikana akiwa ametupwa katika shimo la choo katika kituo cha kibiashara cha Illaut Korr, viongozi wa vijana na wale wa serekali katika eneo hilo chini ya uongozi wa shirika Young Dreams wameandaa kikao cha kutoa hamasa kwa[Read More…]

HAKUNA VIJANA WALIOTENGWA KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA. – ASEMA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA IFPC HASSAN MULATA.

Na Isaac Waihenya,  Mkurugenzi wa shirika la IFPC Hassan Mulata amekanusha madai kwamba kuna baadhi ya vijana waliotegwa katika sherehe za kuadhimisha siku ya kimataifa ya vijana iliyoandaliwa katika shule ya upili ya Moi Girls hapa mjini Marsabit. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee mulata ambaye alikuwa mmoja wa waandaaji wa hafla[Read More…]

WAKAAZI WA ENEO LA DEMO WADI YA TURBI – BUBISA WALALAMIKA KUHARIBIWA KWA BARABARA KUTOKA DEMO KUELEKEA BUBISA NA MWANAKANDARASI ANAYEKARABATI BARABARA HIYO.

Na Samwel Kosgei, Wakaazi wa eneo la Demo wadi ya Turbi – Bubisa eneobunge la North Horr wameonesha masikitiko yao kufuatia madai ya kuharibiwa kwa barabara kutoka Demo kuelekea Bubisa na mwanakandarasi anayekarabati barabara hiyo. Wakaazi wa eneo hilo wakiongozwa na Golo Galgalo wamesema kuwa kuchimbwa upya kwa barabara hiyo[Read More…]

MKURUGENZI WA IDARA YA VIJANA KATIKA SEREKALI YA KITAIFA AKUTANA NA VIJANA KUZUNGUMZIA MASUALA YANAYOWAATHIRI VIJANA KATIKA ENEO BUNGE LA SAKU.

Na Isaac Waihenya & Farida Mohamed Serekali ya kitaifa imejitolea kushughulikia maswala yanayowadhiri vijana hapa jimboni Marsabit. Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi katika idara ya vijana kaunti ya Marsabit Joseph Maina. Akizungumza baada ya kuandaa mkao na viongozi wa vijana katika eneo bunge la Saku,Maina amesema kuwa mkao huo[Read More…]

VIONGOZI WA KIDINI MARSABIT WASHUTUMU KISA CHA MAUAJI ELLEDIMTU MAAJUZI

Kufuatia shambulizi la Jumatatu usiku katika eneo la Elle-Dimtu eneobunge la North Horr kaunti ya Marsabit lililosababisha mauaji ya watu wanane, viongozi wa kidini jimboni Marsabit wameshtumu vikali kisa hicho huku wakitoa wito kwa idara ya usalama kufanya uchunguzi wa kina na kuwakamata waliotekeleza uhaini huo. Sheikh Mohammed Noor ni[Read More…]

BAADHI YA VIONGOZI MARSABIT WAMEPENDEKEZA MPAKA WA KENYA NA ETHIOPIA KUFUNGWA KUTOKANA NA MAUAJI YA WAKENYA.

Na Samuel Kosgei  Viongozi mbali mbali kutoka kaunti ya Marsabit wanazidi kutoa rambirambi zao kufuatia mauaji ya watu wanane usiku wa Jumatatu tukio lililofanyika kati ya Ele-Dimtu na Forole eneobunge la North Horr. Wa hivi punde kutoa risala zake na kukashifu mauaji hayo ya kinyama ni aliyekuwa mwaniaji wa wadhifa[Read More…]

WATU SABA WAAGA DUNIA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA MAJAMBAZI KATIKA ENEO LA ELLE-DIMTU,NORTH HORR KAUNTI YA MARSABIT.

NA ISAAC WAIHENYA Watu saba wameaga dunia katika eneo la Elle-Dimtu baada ya lori walilokuwa wakisafiria kushambuliwa na wahalifu saa tano usiku wa kuamkia leo. Kulingana na DCC wa Marsabit Central David Saruni aliyezungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya kamishina wa kaunti Marsabit ni kuwa lori hilo lilishambuliwa[Read More…]

Subscribe to eNewsletter