WAKAAZI WA MARSABIT WATAKIWA KUTUMIA MVUA ZA SASA KUPANDA CHAKULA CHA MUDA MFUPI
November 26, 2024
Na Samuel Kosgei Mwakilishi wa kike kaunti ya Marsabit Naomi Jilo Waqo amekariri haja ya wananchi wa Marsabit kuzidi kuishi kwa amani na kuzidi kuvumiliana kwa minajili ya maendeleo ya jimbo. Akizungumza na kituo hiki kwenye kipindi cha Bunge Letu Asubuhi, Naomi alikumbusha umuhimu wa kuishi kwa uwiano kati ya jamii[Read More…]
Bebe Rexha was winding up her show in New York on Sunday night (18.06.23) when a mobile phone was thrown towards the stage and struck her in the head. She has reassured her fans that she is doing okay now after being rushed to the hospital. The ordeal was recorded[Read More…]
Na John Bosco Nateleng Visa vya mimba za mapema kwa watoto wasichana vinazidi kuripotiwa katika kaunti ya Marsabit. Haya ni kwa mujibu wa Mtetezi wa haki za kibinadamu jimboni Nuria Gollo. Akizungumza na wanahabari hapa mjini, Nuria alitaja kwamba eneo bunge la Saku ndio imeripoti visa vingi vya mimba[Read More…]
Na Samuel Kosgei Viongozi wa kaunti tatu za Tana River, Isiolo na Marsabit (TIM) ambayo ni sehemu ya eneo pana la kaskazini mwa nchini FCDC wameahidi serikali kuwa wamejitolea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama katika maeneo yao. Viongozi hao wakiongozwa na gavana wa Marsabit Mohamud Ali walimtaka waziri wa usalama[Read More…]
Na Adano Sharamo Kenya imesaini mkataba wa maelewano na muungano wa bara Ulaya-EU ambao utaimarisha biashara baina ya Kenya na nchi 27 za bara Ulaya. Akizungumza kwenye ikulu rais William Ruto amesema kwamba kwenye makubaliano hayo Kenya itaongeza kiwango cha bidhaa za kilimo ambazo zinauzwa katika masoko ya Ulaya. Rais[Read More…]
By Machuki Dennson One suspect was last night arrested in connection to a theft syndicate that has been vandalizing Kenya power and lightening company equipment. Florence Kariuki, 30 was arrested during the raid as efforts to arrest the main suspect in the syndicate is intensified. Detectives recovered in Kiambu county[Read More…]
Na Grace Gumato Wazazi na walezi kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwaongoza vyema watoto wao katika matumizi sahihi na salama ya mitandao kwani wengine wao hujifunza tabia za kuwapotosha kimaadili kupitia mitandao. Wito huu ulitolewa na Thomas Mugo ambaye ni Afisa wa Masuala ya Watoto kaunti ya Marsabit kwenye maadhimisho ya[Read More…]
Na Samuel Kosgei Seneta wa Nandi Samson Cherargei sasa anasema kwamba wabunge wa Kenya Kwanza ambao walipinga Mswada wa Fedha wa 2023 uliopendekezwa watakabiliwa na hatua za kinidhamu. Kauli ya Cherargei ilijiri baada ya wabunge 176 kupiga kura kwa niaba ya muswada huo uliogubikwa na utata huku 81 wakipinga ripoti[Read More…]
Na Adano Sharamo Waakilishi wadi na maspika wao wana kila sababu ya kutabasamu baada ya tume ya kuratibu mishahara ya wafanyikazi wa umma SRC kuidhinisha mapendekezo ya nyongeza ya mishahara. Katika taarifa mwenyekiti wa SRC Lyn Mengich amesema mapendekezo hayo yataanza kutekelezwa katika mwaka wa kifedha 2023/24. Katika mapendekezo hayo[Read More…]
Na Isaac Waihenya Waziri wa fedha Njuguna Ndung’u hii leo anatarajiwa kusoma Bajeti ya 2023/24. Hii ndiyo bajeti ya kwanza ya utawala wa Rais William Ruto na Waziri Ndung’u anatarajiwa kusoma makadirio ya Ksh.3.6 trilioni. Kamati ya Fedha ya Bunge la Kitaifa inapendekeza nyongeza ya Ksh.80.7 bilioni, huku jumla ya[Read More…]