Featured Stories / News

Serikali yatenga shilingi millioni 300 kufanikisha ujenzi wa mahala pa kuendeleza biashara ya samaki Loiyangalani.

Na Carol Waforo   Katika juhudi za kuwahakikishia wakaazi wa Kaunti ya Marsabit usalama wao wa chakula serikali inapanga kufanya miradi mbalimbali ya maji itakayopiga jeki ukulima. Hii ni pamoja na kujenga mabwa pamoja na kuchimba visima vya maji katika maeneo tofauti humu Jimboni Marsabit. Haya yamebainika katika uzinduzi wa[Read More…]

Morgan Heritage Releases new song with Latin rhythms.

Granny award-winning reggae group Morgan Heritage, is back with a new single titled “Te Adoro”. The Spanish song that translates to “I Adore You” showcases the band’s versatility and cross-genre appeal, solidifying their status as musical trailblazers. “Te Adoro” marks Morgan Heritage’s highly anticipated comeback after their acclaimed album “The[Read More…]

IDARA YA ELIMU MARSABIT YAKANA KUWEPO KWA UPUNGUFU WA MADARASA SHULE YA CHEKECHEA YA ELEBOR WAKIITAJA KAMA SIASA

Na Caroline Waforo Baada ya malalamishi ya wakaazi wa eneo la Elebor iliyoangaziwa na Radio Jangwani kuhusu uhaba wa madarasa katika shule ya chekechea ya Elebor iliyoko kaunti ndogo ya Sololo, idara ya elimu humu jimboni Marsabit imelaani malalamishi hayo ikiyataja kama yaliyochochewa kisiasa. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani[Read More…]

Familia elfu 4 Marsabit kufaidika na mpango mpya wa NDMA ambao watapewa nyongeza ya sh.1000 kudhibiti utapiamlo.

Na Samuel Kosgei Mamlaka ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukame na majanga (NDMA) tawi la Marsabit, kwa sasa inaendeleza zoezi la kusajili familia 4000 ambazo zinapaswa kupokea Ksh.3,700 kila mwezi katika mpango mpya wa kukabiliana na njaa HSNP. Mratibu wa mamlaka hiyo hapa Marsabit Guyo Golicha Iyya alisema kuwa Familia hizo[Read More…]

Subscribe to eNewsletter