Featured Stories / News

WATU WANNE WASHTAKIWA KWA UHARIBIFU WA MSITU MARSABIT

Katika taarifa kutoka Marsabit, watu wanne wamefikishwa mahakamani kwa kosa la uharibifu wa msitu, ambalo ni kinyume cha sheria. Washukiwa wanaotuhumiwa ni Boru Malicha, Hussein Galgallo, Guyo Jarso na Abkul Galgallo. Wanadaiwa kupatikana na miti aina ya Drypetes Gerrardii katika eneo la msitu wa Marsabit bila kuwa na stakabadhi yoyote.[Read More…]

WAKAAZI WA MARSABIT WANAHIMIZWA KUSHIRIKI KATIKA UHIFADHI WA MAZINGIRA

NA CAROLINE WAFORO Huku ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mazingira Taifa (NEMA) Naftaly Osoro amebainisha umuhimu wa wakaazi wa Kaunti ya Marsabit kushiriki kikamilifu katika shughuli za utunzaji wa mazingira. Kwa mujibu wa Osoro, ushiriki wa wakaazi katika utunzaji wa mazingira utasaidia sana katika kukomesha[Read More…]

Subscribe to eNewsletter