October 30, 2024
MAJAMBAZI WAWILI WA WIZI WA MIFUGO WAFARIKI DUNIA KUTOKANA NA MAJERAHA YA RISASI BAADA YA KUKABILIANA NA MAAFISA WA POLISI MARSABIT..
Na Caroline Waforo Majambazi wawili wa wizi wa mifugo wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na majeraha ya risasi waliopata wakati wa makabiliano na maafisa wa polisi katika visa viwili tofauti jimboni Marsabit. Ni vifo ambavyo vimethibitishwa na afisa mkuu wa idara ya upelelelezi na jinai jimboni Marsabit Luka Tumbo. Katika kisa[Read More…]