Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
Na Adho Isacko Wakaazi wa eneo la Karare wamekosa kuafikiana na shirika la kutathmini athari za ujenzi kwa mazingira, maafisa wa shirika la wanyamapori KWS pamoja na jeshi la KDF kwenye mkutano uliofanywa hiyo jana ili kutathmini athari za ujenzi wa kambi ya jeshi katika eneo hilo. Wakaazi hao wanadai[Read More…]
Na Adho Isacko Kundi la majambazi wasiojulikana siku ya Jumatano walivamia mifugo ya wakaazi wa eneo la hulahula katika msitu wa Marsabit saa sita mchana na kujeruhi ngombe 3. Kulingana na aliyeshuhudia tukio hilo Bileua Keina majambazi hao ambao walikua na bunduki walifika katika eneo la wortikele ambapo mifugo hunywa[Read More…]
Wizara Ya Afya Imeweka Wazi Kuwa Watu 317 Hapa Nchini Hujitoa Uhai Kila Mwaka, Huku Taifa La Kenya Likishikilia Nafasi Ya 114 Ulimwenguni Kati Ya Mataifa 175 Kwa Visa Vya Kujitoa Uhai Kutokana Na Sababu Mbalimbali. Akizunguzumza Akiwa Katika Hospitali Ya Wagonjwa Wa Akili Ya Mathare Jijini Nairobi, Katibu Wa[Read More…]
Na Adho Isacko Na Adho Isacko Wananchi wamehimizwa kuendelea kufuatia maagizo ya serikali kwani ugonjwa wa covid-19 una hatua tofauti na unaweza anza tena. Akizungumza Jumanne kwenye jumba la afya katibu wa utawala katika wizara ya afya Dkt Rashid Aman amesema kuwa hata kama idadi inaonekana kupungua, kuna kaunti kama[Read More…]
Na Waihenya Isaac MAHAKANI BY WAIHENYA 4PM………………. Mshukiwa kwenye mauaji ya Kevin Omwenga,Chris Obure amepata pigo baada ya mahakama kutupilia mbali ombi lake la kutaka kufanywa kuwa shahidi badala ya kuwa mshukiwa kwenye mauji hayo. Akitoa uamuzi kwenye kesi hiyo Jaji Mumbi Ngugi ameamuru kuwa ombi la mshukiwa huyo halina[Read More…]
Idara ya usalama kaunti ya Marsabit imepigwa jeki katika suala la kupokea elimu na hamasisho kuhusiana na kero la ugonjwa wa covid 19 nchini. Akizungumza na wanahabari mwishoni mwa juma mjini Marsabit baada ya kufanya kikao na wawakilishi wa Muungano wa Chama Cha Wamiliki Bunduki nchini (NGOA) kamanda wa polisi[Read More…]
By Mark Dida Washukiwa sita wakuu wa mapigano ya kikabila baina ya jamii za Gabra na Borana wamesema wameamua kuleta amani na maridhiano kufuatia mazungumzo. Wakiwahutubia waandishi wa habari katika kikao cha pamoja hapa Marsabit, viongozi hao walikiri kuwa wameafikiana haya wakiwa wamefungiwa kwa siku saba ndani ya seli ya[Read More…]
Na Jillo Dida. Kamanda mpya wa polisi jimbo hili Mutunga Samuel amekabidhiwa rasmi majukumu ya ofisi na mtangulizi wake Ambrose Steve Oloo katika dhifa fupi iliyofanyika katika makao Makuu ya Polisi leo asubuhi. Oloo ambaye amehudumu kaunti ya Marsabit kwa miezi 16 sasa amepata uhamisho baada ya kupandishwa cheo kuwa[Read More…]
Na Jillo Dida 3RD JUNE. Katika hatua ya kuonyesha maridhiano, umoja na upendo kati ya jamii ya Gabra na Borana, watoto wawili kutoka jamii ya Borana hii leo wamekabidhiwa jamii ya Gabra katika hafla ambayo imefanyika kwa furaha kule Bubisa kaunti ndogo ya North Horr hapa Marsabit. Watoto hao wenye[Read More…]
Na Jillo Dida Jillo Ngamia katika maeneo kadha jimboni Marsabit wameadhirika na ugonjwa wa mafua na kuonyesha dalili nyingine ambazo wakaazi wameeleza sintomfahamu kuzihusu. Visa vya ngamia kufariki katika jimbo la marsabit viliripotiwa tangu mwezi Januari mwaka huu baada ya mlipuko wa virusi vya mers-cov kwa kiengereza middle east respiratory[Read More…]