Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
By Statehouse President Uhuru Kenyatta has urged young Kenyan scientists to expend their energies wisely and remain focused so as to come up with cutting edge innovations that will help thrust Kenya into global scientific stardom. The President challenged the budding scientists, engineers and innovators to work towards entrenching Kenya’s[Read More…]
Picha; Hisani By Adano Sharawe, Bunge La Seneti Litaandaa Kikao Siku Ya Jumatano Ili Kuamua Namna Ambavyo Hoja Ya Kumwondoa Mamlakani Gavana Wa Nairobi Mike Sonko Itakavyoshughulikiwa. Spika Wa Bunge La Seneti Ken Lusaka Ameitisha Kikao Hicho Maalum, Na Amesema Kuwa Maseneta, Ambao Kwa Sasa Wako Likizoni, Watasikiza Malalamishi[Read More…]
Picha; Hisani Na Adho Isacko, Huku Ulimwengu Ukiadhimisha Siku Ya Walemavu Hiyo Jana Sherehe Za Kila Mwaka Katika Kaunti Ya Marsabit Hazikufanyika Mwaka Huu Kwa Sababu Ya Mlipuko Wa Covid-19. Akizungumza Na Radio Jangwani Kwa Njia Ya Simu, Afisa Mkuu Wa Huduma Ya Watu Wenye Ulemavu Katika Kaunti Ya Marsabit[Read More…]
Picha; Hisani Na Waihenya Isaac Waziri Wa Elimu Profesa George Maghoha Ametaja Kuwa Kutakuwa Na Mazumguzo Na Kuwahusisha Wazazi Kabla Ya Kutekelezwa Kwa Ongezeko La Karo Ya Vyuo Vikuu Nchini. Haya Yanajiri Siku Chache Tu Baada Ya Mpango Wa Kutaka Karo Za Vyuo Vikuu Kuongezwa Mara Tatu Zaidi Ya Ilivyo[Read More…]
Picha;Hisani. Na Samuel Kosgei, Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Kuwa Safari Ya Kufanyia Katiba Mageuzi Tayari Imeng’oa Nanga Na Hakuna Cha Kurejea Nyuma Tena Kwenye Mchakato Huo Tena. Odinga Akizungumza Alipokuwa Akipokezwa Saini Zote Zilizokusanywa Wiki Moja Iliyopita Ili Kufanikisha Marekebisho Ya Katiba Amesema Kuwa Wakti Wa Kukusanywa[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Rais Uhuru Kenyatta Amewataka Magavana Kujiandaa Kikamilifu Kupambana Na Janga La Korona Iwapo Janga Hili Linaweza Endelea Kutikisa Ulimwengu Kwa Kipindi Kirefu. Akizungumza Jijini Nairobi Wakati Wa Mpango Wa Magatuzi Kuimarisha Hali Ya Uchumi Nchini Kutokana Na Adhari Ya Virusi Ya Korona Ambavyo Vimeadhiri Uchumi Wa Nchi,[Read More…]
Picha;Hisani Na Adano Sharawe, Waziri Wa Fedha Ukur Yatani Ametangaza Kuwa Ushuru Ulioshushwa Kudhibiti Janga La Corona Utarejea Katika Hali Ya Kawaida Kuanzia Januari 1, 2021. Hata Hivyo, Yattani Amesema Wale Wanaopokea Mshahara Wa Chini Ya Sh24, 000 Wataendelea Kufurahia Ushuru Wa Mapatao Uliopunguzwa Kwa Asilimia 100. Akizungumza Leo Jijini[Read More…]