Local Bulletins

Wizara Ya Elimu Itawahusisha Wazazi Kabla Ya  Kutekelezwa Kwa Ongezeko La Karo Ya Vyuo Vikuu Nchini.- Waziri Maghoha

Picha; Hisani

Na Waihenya Isaac

Waziri Wa Elimu Profesa George Maghoha Ametaja Kuwa Kutakuwa Na Mazumguzo Na Kuwahusisha Wazazi Kabla Ya  Kutekelezwa Kwa Ongezeko La Karo Ya Vyuo Vikuu Nchini.

Haya Yanajiri Siku Chache Tu Baada Ya Mpango Wa Kutaka Karo Za Vyuo Vikuu Kuongezwa Mara Tatu Zaidi Ya Ilivyo Kwa Sasa.

Akizungumza Na Vyombo Vya Habari, Waziri Maghoha Ametaja Kuwa  Kutokana Na Ugumu Wa Maisha Unaoshuhudiwa Na Wananchi Nchini Kutokana  Adhari Za Janga La Korona, Serekali Kupitia Wizara Ya Afya Itaawahusisha Washikadao Katika Wizara Hiyo Kabla Ya Kufanya Uamuzi Wa Mwisho Kuhusiana Na Swala Hilo.

Kuhusiana Na Swala La Dawati Za Shule Katika Shule Za Upili Na Zile Za Msingi, Waziri Maghoha  Ametaja Kuwa Mradi  Huo Unaendelea Kwa Njia  Inayostahili.

Aidha  Baadhi Wanafunzi  Wa Vyuo Kuu Wamelalamikia Hatua Hiyo Na Kutanja Kuwa huenda Wakaanda  Maandamano Hadi  Ofisi Za Waziri Maghoha Ili Kumshinikiza Kutupilia Mbali Pendekezo Hilo.

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe to eNewsletter