Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
By Machuki Denson Wakenya Wengi Wana Matumaini Kwamba Mwaka Wa 2021 Utakuwa Wa Mafanikio Kuliko Wa 2020 Kulingana Na Utafiti Wa Kura Ya Maoni. Utafiti Huo Uliofanywa Na Kampuni Ya Infotrak, Ambao Mtokeo Yake Yalitolewa Leo Unaonyesha Kwamba Asilimia 61 Ya Wakenya Wana Matumaini Makubwa Kwamba 2021 Utakuwa Mwaka Mzuri [Read More…]
By Samuel Kosgei, Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka IEBC Hii Leo Inazindua Rasmi Zoezi Zima La Kusanifisha Sahihi Za Mpango Wa BBI Ambazo Ziliwasilishwa Kwao Na Kundi Linalounga Mkono Mchakato Huo. Uzinduzi Wa Zoezi Hilo Linafanyika Katika Ukumbi Wa Bomas Of Kenya Jijini Nairobi Ukiongozwa Na Mwenyekiti Wa Tume[Read More…]
By Adano Sharawe. Tume Ya Kitaifa Ya Uwiano Na Utangamano NCIC Imetupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna Kuhusiana Na Matamshi Yasiyofaa Waliyotoa Hivi Majuzi Wakati Wa Kampeni Za Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni. Kamishna Wa Tume Hiyo Ya NCIC Danvas Makori[Read More…]
By Rose Achiego Ande, Nairobi, Monday, 28th, December 2020 The Holy Father Pope Francis has appointed Very Rev. Fr. Wilybard Lagho, as Bishop of Malindi Diocese. The news of the appointment of Bishop-Elect Wilybard Lagho was officially made public in Rome on Monday 28th, December 2020 at Noon, Rome Time[Read More…]
By Waihenya Isaac Wanaopania Kuwania Wadhifa Wa Gavana Wa Kaunti Ya Nairobi Wanahadi Leo Jioni Kuwasilisha Nyaraka Zao Kwa Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka IEBC. Kwa Mujibu Wa IEBC, Vyama Vya Kisiasa Vinavyokusudia Kushiriki Katika Uchaguzi Huo Mdogo, Vinafaa Kuwasilisha Majina Ya Wagombea Wao Ifikikiapo Leo Jioni. Aidha IEBC[Read More…]
By Waihenya Isaac & Jillo Dida Mamake Aliyekuwa Kinara Wa ANC Musalia Mudavadi Hannah Atsianzale Mudavadi Ameaga Dunia. Atsianzale Ameaga Dunia Saa Kumi Na Moja Alfajiri Ya Leo Alipokuwa Akipokea Matibabu Katika Hospitali Ya Nairobi Akiwa Na Umri Wa Miaka 92. Ripoti Kuhusiana Na Kifo Chake Zimewekwa Wazi Na Musalia[Read More…]
By Waihenya Isaac. Wakaazi Wa Maeneo Ya Garma Pamoja Na Vijiji Jirani Katika Kaunti Ndogo Ya Samburu Ya Kati Wanakila jambo la Kutabasamu Baada Ya Safari Ndefu Wazikuwa Wakitembea Wakitafuta Maji Kufupishwa. Hii Ni Baada Ya Serekali Ya Kaunti Ya Samburu Kwa Ushirikiano Na Hazina Ya Maji Katika kaunti Hiyo [Read More…]
By Adano Sharawe. Wabunge wameonya kuwa maelfu ya wanafunzi kutoka familia masikini na zisizojiweza pamoja na mayatima ambao hutegemea bursari ya hazina ya CDF kukimu karo huenda wakasalia nyumbani wakati shule zitakapofunguliwa mwezi ujao. Wabunge wanasema hawajapokea mgao wa fedha za hazina ya ustawi wa maeneobunge yao (NG-CDF) kwa miezi[Read More…]
By Samuel Kosgei. Wizara ya fedha imesema kuwa iko tayari kutoa fedha za kufanikisha mchakato wa kura ya maoni kupitia mapendekezo ya BBI. Waziri wa hazina ya kitaifa Ukur Yatani amesema kuwa serikali haiwezikosa fedha za kufanikisha zoezi katika suala la linalochukulia kwa uzito na kipaumbele. Tume ya uchaguzi na[Read More…]
By Waihenya Isaac Tume Ya Uwiano Na Utangamano Nchini NCIC Imeapa Kuwachukua Hatua Kali Wanasiasa “Ambao Watavunja Sheria” Wakati Wa Chaguzi Ndogo Zijazo. Kupitia Mwenyekiti Wake Samuel Kobia NCIC Imetaja Kuwa Imepata Funzo Katika Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni, Ambao Uligubikwa Na Cheche Za Chuki Katika Kipindi Cha Kampeni. Kobia Ameahidi[Read More…]