Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
By Samuel Kosgei TUME huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imetenga February 18, 2021 kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa kaunti ya Nairobi kumtafuta gavana atakayechukua nafasi ilioachwa wazi na Mike Sonko. Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati, kupitia gazeti rasmi la serikali ameshauri vyama vyote vya kisiasa vinavyopania kuwania ugavana[Read More…]
By Waihenya Isaac Baraza La Magava COG Limeshauri Serekali Zote Za Kaunti Humu Nchi Kusistisha Ulipaji Wa Mishahara Ya Wahudumu Wa Afya Wanaoendelea Na Mgomo Na Kuchukua Hatua Za Nidhamu Dhidi Ya Wale Hawajafika Kazini. Kwenye Arafa Iliyotumwa Kwenye Vyombo Vya Habari, COG Kupitia Mwenyekiti Wake Wycliff Oparanya Inataka Serekali[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Ofisi Kuu Inayoshughulikia Mchakato Wa BBI Pamoja Na Wanaounga Mkono Suala Hilo Nchini Leo Wamekabidhi Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka IEBC Sahihi Za BBI Zaidi Ya Milioni Tatu Walizokusanya Wakti Wa Zoezi La Ukusanyaji Sahihi. Timu Hiyo Inayoongozwa Na Kinara Wa Wachache Bungeni Junet Mohammed[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Huku Mgomo Wa Wahudumu Wa Afya Ukiingia Siku Yake Ya Nne Hii Leo, Baraza La Magavana Nchini Limetataka Magavana Wote Wakutane Na Vyama Vya Wafanyakazi Vya Afya Vya Kaunti Vinavyotambuliwa Na Kujadili Malalamiko Yao Kwa Nia Ya Kutatua Malalamishi Ya Wafanyikazi Wa Afya Kwa Amani. Kwenye Taarifa[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Aliyekuwa Mbunge Wa Jimbo La Arusha Mjini, Godbless Lema, Aliyetorokea Kenya Mwezi Uliopita Kutokana Na Madai Ya Maisha Yake Kuwa Hatarini Nchini Tanzania Hatimaye Amepata Nafasi Ya Hifadhi Ya Kisiasa Nchini Canada. Wakili Wake George Luchiri Wajackoyah Amethibitisha Kuwa Lema Aliondoka Jana Kenya Akiwa Na Familia Yake.[Read More…]
Statehouse President Uhuru Kenyatta has congratulated President Nana Akufo-Addo following his re-election for a second term in office. President Kenyatta said the re-election of President Akufo-Addo in a hotly contested poll demonstrates the strong confidence and trust the people of Ghana have in his visionary and progressive leadership. “On behalf[Read More…]
By Radio Jangwani Chief Registrar of the Judiciary Anne Amadi has called on organizations to partner with the Judiciary to expand legal aid to Kenyans. Speaking at the First National Conference on Legal Aid organized by Egerton University Law School, in Elementaita, Amadi who was the chief guest said that[Read More…]
By Waihenya Isaac, Mwenyekiti Wa Muungano Wa Madaktari Nchini KMPDU Dr. Samuel Oroko Ametaka Serekali Kuchukulia Kwa Maanani Wahudumu Wa Afya Nchini Ili Kuwaepusha Na Hatari Inayowakondolea Macho Ya Maambukizi Ya Korona. Akizungumza Jijini Nairobii Oroko Ametaja Kuwa Ni Jambo La Kughadhabisha Mno Kuona Kuwa Serekali Bado Inaendeleza Ajenda Ya[Read More…]
By Samuel Kosgei, Naibu Wa Rais Dkt William Ruto Amejitokeza Na Kukashifu Vikali Wanasiasa Anaosema Kuwa Wanaweka Maslahi Yao Mbele Haswa Wakti Huu Wahudumu Wa Afya Wanapogoma. Akizungumza Katika Kaunti Ya Kericho Alipohudhuria Mazishi Ya Luteni Mstaafu John Koech, Ruto Anasema Kuwa Taifa Lipo Kwenye Janga Kuu La Kimataifa Na Hivyo Kusema[Read More…]