Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
Jaji mkuu David Maraga amestaafu rasmi kama jaji mkuu baada ya kuhudumu kwa miaka minne kama jaji mkuu. Maraga ambaye amehudumu kama jaji wa mahakama kuu kwa zaidi ya miaka 18 atakumbukwa kwa mengi hususani uamuzi wake wakufutilia mbali uchaguzi wa urais wa mwaka wa 2017. Katika hafla ilioandaliwa katika[Read More…]
Na Isaac Waihenya Uteuzi wa Wilson Sossion kama mbunge maalumu njdio chanzo cha migogoro kati ya tume ya kuwaajii walimu nchini TSC na muungano wa kutetea haki za walimu nchini KNUT. Haya ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu Wa Muungano Wa Waalimu Nchini KNUT Tawi La Marsabit Lufre Gambare. Gambare[Read More…]
By Waihenya Isaac. Ibada Ya Wafu Ya Mamake Kinara Wa ANC Musalia Mudavadi, Hannah Atsianzale Mudavadi Inaendela Katika Kanisa La Friends Ngong Jijini Nairobi. Atsianzale Aliaga Dunia Disemba 28, 2020 Alipokuwa Akipokea Matibabu Katika Hospitali Ya Nairobi Akiwa Na Umri Wa Miaka 92. Mama Hannah Atsianzale Atapumzishwa Jumamosi Hii Nyumbani[Read More…]
By Waihenya Isaac. Wizara Ya Elimu Haitawalazimisha Walimu Walio Na Umri Wa Miaka 58 Na Zaidi Kusalia Nyumbani Iwapo Wanahitaji Kurejea Shuleni Kuendeleza Majukumu Yao Ya Kufunza. Kwa Mujibu Wa Katibu Mkuu Mtendaji Wa Tume Ya Huduma Za Walimu Nchini TSC Bi Nancy Macharia Ni Kuwa Walimu Walio Na Umri[Read More…]
By Adano Sharawe Seneta Wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen Sasa Anasema Atapinga Mipango Yoyote Ya Kumuondoa Seneta Irungu Kang’ata Kutoka Kwa Nafasi Yake Ya Kiranja Wa Bunge La Seneti Murkomen Amesema Ikiwa Uongozi Wa Chama Cha Jubilee Utaitisha Kikao Cha Kumuondoa Kang’ata, Watahudhuria Na Kupinga Hatua Hiyo. Amesema Badala Yake[Read More…]
By Jilo Dida. Kasisi Mmoja Katika Eneo La Ndia Kaunti Ya Kirinyaga Anakabiliwa Na Mashataka Ya Kuwanajisi Na Kuwapa Ujauzito Wanawe Wawili Wenye Umri Wa Miaka 14 And 16 Mtawalia. Mshukiwa Huyo Kwa Jina Guchina Mwenye Umri Wa Miaka 51 Atasalia Rumande Hadi Siku Ya Alhamisi Januari 7 Baada Ya[Read More…]
By Adano Sharawe Serikali Kupitia Wizara Ya Elimu Imewaonya Vikali Walimu Wakuu Wanaowarudisha Nyumbani Wanafunzi Kwa Kukosa Kulipa Ada Ya Maendeleo Ya Shule. Akizungumza Alipozuru Shule Mbali Mbali Katika Kaunti Ya Nyeri Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Ameonya Kuwa Mwalimu Yeyote Atakayemrudisha Mwanafunzi Nyumbani Kwa Kutolipa Ada Hio Ya[Read More…]
By Waihenya Isaac. Watahiniwa Kutoka Shule Za Kibinafsi Zilizofungwa Kwa Ajili Ya Makali Ya Korona, Hawatakosa Kukalia Mitihani Yao Ya KCSE Na KCPE Mwaka Ujao. Kwa Mujubu Wa Wa Ziri Wa Elimu Profesa George Magoha Ni Kuwa Wizara Ya Elimu Pamoja Na Washikadau Katik Asekta Hiyo Wataandaa Kikao Ili Kutafuna[Read More…]
By Samuel Kosgei Waziri wa afya Mutahi Kagwe ametangaza kuwa taifa hii leo imepoteza watu 11 kutokana na ugonjwa vya Covid-19 ikiwa ndio siku ya kwanza ya mwaka. Idadi hiyo imefikisha walioaga dunia kuwa watu elfu 1,681. Ameongeza kuwa watu wengine 156 wamekutwa na virusi hivyo baada ya vipimo vya[Read More…]
By Isaac Waihenya. Askofu Wa Jimbo Katoliki La Marsabit Askofu Peter Kihara Amewataka Wananchi Wakaunti Hii Kudumisha Amani Ili Kuimarisha Maendeleo Katika Kaunti Hii. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Katika Makao Ya Ga vana Wa Jimbo Hili Mohamoud Ali Hapa Mjini Marsabit, Askofu Kihara Amewataka Wananchi Wa Kaunti[Read More…]