Ukame na upepo mkali kutarajiwa sehemu kubwa ya Marsabit wiki hii.
Na Nyabande Orwa Hali ya hewa katika kaunti ya Marsabit inatarajiwa kuwa ya joto na…
Vijana Marsabit wahimizwa kuepuka kushawishiwa kujiunga na makundi ya kigaidi
Na Silvio Nangori Vijana katika Kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwa macho na kujiepusha na ushawishi…
Wanaskauti Marsabit wakongamana Moyale kwa mafunzo na mashindano.
Na JB Nateleng Zaidi ya wanaskauti 300 kutoka maeneo mbalimbali ya kaunti ya Marsabit wamekusanyika…
Mifugo 251 iliyoibwa Loiyangalani yarejeshwa
Na Caroline Waforo Maafisa wa usalama wamefanikiwa kurejesha kondoo na mbuzi 251 waliokuwa wameibwa na…
Vikundi vya akina mama Moyale vyanufaika na kongamano la VSLA 2026
NA JB Nateleng Zaidi ya vikundi 30 vya akina mama katika eneo la Moyale vimenufaika…
Mwanaume mmoja ahukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kumnajisi msichana wa miaka 11, Moyale
Mahakama ya Moyale imemhukumu mwanaume mmoja kifungo cha maisha gerezani kwa kumnajisi msichana mwenye umri…
Wauzaji wa samaki katika eneo la Loyangalani wataka msaada wa soko wa kuuzia samaki wao.
Na Sabalua Moses Mwenyekiti wa kikundi cha akina mama cha Kilimabogo Fried Fish Fransesca Lopeyok…
Idara ya watoto Marsabit yafafanua uamuzi wa Mahakama kuwa wasishtakiwe wavulana wanaoshiriki mapenzi na wasichana kwa maelewano
Na JB Nateleng Afisa wa masuala ya watoto katika kaunti ndogo ya Marsabit Central, Leakey…
Wakaazi wa Toricha, North Horr walalamikia uhaba wa maji na huduma duni za afya.
Na JB Nateleng Wakazi wa eneo la Toricha katika wadi ya Maikona, eneo bunge la…
Wadau wa elimu waitaka serikali hamasisha wazazi kuhusu umuhimu wa elimu, Korr
Na JB Nateleng Wadau wa elimu katika eneo la Manyatta Lengima lililoko wadi ya Korr,…
Papa Leo XIV amteua Padri John Mbua Mwandi kuwa Askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Kitui
Waamini wa Kanisa Katoliki nchini Kenya wamepokea kwa furaha uteuzi wa Padri John Mbua Mwandi kuwa Askofu msaidizi wa…
Usalama waimarishwa Marsabit kuelekea sikukuu ya Eid-Al-Adha
Idara ya usalama katika kaunti ya Marsabit imewahakikishia wakaazi usalama wa kutosha wakati wa sherehe za…