Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
By Adano Sharawe, Vyombo vya Usalama Jumanne vilifanikiwa kulizima jaribio la shambulizi dhidi ya Kituo cha Polisi cha Turbi eneo bunge la North Horr katika Kaunti ya Marsabit. Hii ni kulingana na Kaimu Mkuu wa Polisi eneo la Turbi David Muthure aliyefichua kwamba watu wanne waliwafyatulia risasi maafisa wa kituo[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Mbunge wa Moyale Qalicha Gufu ameiomba serikali na tume ya maridhiano ya kitaifa NCIC kumkamata na kumshtaki aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Torbi, Pius Yatani kwa kutoa matamshi ya uchochezi ya kijamii katika kaunti ya Marsabit miaka miwili iliyopita. Mbunge huyo ameteta kuwa licha ya agizo la polisi kumkamata mwanasiasa huyo, bado[Read More…]
By Adano Sharawe, Wakazi wa Turbi eneo bunge la North Horr wametoa changamoto kwa serikali kumaliza kero la utovu wa usalama unaoshuhudiwa jimboni, hasa kwenye mpaka wa Sololo na Turbi. Wakiongozwa na Roba Bonaya, wenyeji waliozungumza na idhaa hii wameelezea kuhofia usalama wao kwani sasa majambazi wenye silaha hatari wanaonekana[Read More…]
By Jillo Dida , Mwakilishi wadi ya Uran eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit, Halkano Konso amejiwasilisha ktk afisi za makachero wa DCI mjini Marsabit leo asubuhi. Duru inaarifu kuwa Halkano alisafirishwa baada ya kumaliza kuandikisha taarifa hadi eneo ambalo halijajulikana ambapo pia wanahabari walizuiliwa kuzungumza naye. Inaarifiwa kuwa[Read More…]
By Mark Dida, Mwanamke mmoja ameuwawa huku mbuzi wake 40 wakiibwa na majangili waliojihami kwa bunduki katika lokesheni ya Jirime eneo la Milima Mitatu usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa kamishina wa kaunti ndogo ya Sakuu Peter Mureira, uvamizi huo ulitekelezwa na idadi isiyojulikana ya majangili waliojihami mwendo wa[Read More…]
By Jillo Dida Jillo Kaunti ya Marsabit imeungana na wakenya wengine kusheherekea juhudi zake za kukabiliana na ugonjwa wa saratani huku Ulimwengu ukiadhimisha siku ya kimataifa ya saratani hii leo -kauli mbiu wa mwaka huu ikiwa ni ushirikiano kati ya wagonjwa na wahudumu katika kukabili saratani hapa nchini. Maadhimisho ya[Read More…]
By Samuel Kosgei, Kadhi Mkuu wa Mahakama ya Marsabit Ibrahim Tullu ameonesha masikitiko yako kutokana na ongezeko la visa vya talaka kati ya wanandoa wa jamii zinazoishi jimbo hili. Kadhi Tullu akisema na shajara ya jangwani amekiri kuwa tangu ajiunge na idara ya mahakama ktk kaunti ya Marsabit September[Read More…]
By Adano Sharawe, Serikali itawachukulia hatua kali za kisheria viongozi waliohusika katika kupanga na kufadhili mapigano ya kikabila yaliyoshuhudiwa kaunti ya Marsabit. Waziri wa Usalama wa Kitaifa Dkt Fred Matiangi amesema serikali inaendelea kuwachunguza viongozi ambao wamekuwa wakiwapa silaha wenyeji kuiba mifugo na kutekeleza mauaji jimboni. Akifika mbele ya Kamati[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko anaongoza orodha ya magavana wenye utendakazi duni kwa msingi wa namna walitumia pesa za maendeleo kulingana na taarifa ya bajeti mwaka 2021 iliyotolewa na Hazina ya Taifa. Ripoti hiyo ilifichua kuwa kaunti zenye asilima ndogo ya rekodi ya maendeleo[Read More…]
Picha;Hisani By Samuel Kosgei, HUKU utovu wa nidhamu shuleni ukizidi kushuhudiwa na shule kadhaa kuteketezwa na wanafunzi nchini, wito wa suluhu kupatikana unazidi kutolewa na viongozi wa kidini. Kufikia sasa shule zaidi ya 10 zimeteketezwa na wanafunzi kote nchini. Akizungumza na shajara ya radio jangwani, askofu wa kanisa la[Read More…]