Author: Isaac Waihenya

Wawakilishi Wadi Kutoka Kaunti Ya Kisumu,Homabay Na Kaunti Ya Migori Wameahidi Kupitisha Mswada Wa Marekebisho Ya Katiba BBI.

By Waihenya Isaac, Wawakilishi wadi Kutoka kaunti ya Kisumu,Homabay na kaunti ya Migori wameahidi kupitisha mswada wa marekebisho ya Katiba BBI. Kwenye Mkutano ulioandaliwa Katika kaunti Ya Kisumu wajumbe hao walitaja kuwa watafuata mfano wa bunge la kaunti ya Siaya kwa kupitisha mswaada huo kabla ya wiki hii kukamilika. Akizungumza[Read More…]

Read More

Mwakilishi Wa Wadi Ya Uran Eneo Bunge La Moyale Kaunti Ya Marsabit, Halkano Konso Akamatwa Na Makachero Wa DCI Hii Leo Asubuhi Mjini Marsabit .

By Jillo Dida , Mwakilishi wadi ya Uran eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit, Halkano Konso amejiwasilisha ktk afisi za makachero wa DCI mjini Marsabit leo asubuhi. Duru inaarifu kuwa Halkano alisafirishwa baada ya kumaliza kuandikisha taarifa hadi eneo ambalo halijajulikana ambapo pia wanahabari walizuiliwa kuzungumza naye. Inaarifiwa kuwa[Read More…]

Read More

Mwanamke Mmoja Auwawa Huku Mbuzi Wake 40 Wakiibwa Na Majangili Waliojihami Kwa Bunduki Katika Lokesheni Ya Jirime Eneo La Milima Mitatu Usiku Wa Kuamkia Leo.

By Mark Dida, Mwanamke mmoja ameuwawa huku mbuzi wake 40 wakiibwa na majangili waliojihami kwa bunduki katika lokesheni ya Jirime eneo la Milima Mitatu usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa kamishina wa kaunti ndogo ya Sakuu Peter Mureira, uvamizi huo ulitekelezwa na idadi isiyojulikana ya majangili waliojihami mwendo wa[Read More…]

Read More

Mitihani Ya Kitaifa Itaendelea Kama Ilivyopangwa – Asema Waziri Magoha

By Waihenya Isaac, Mitihani ya kitaifa itaendelea kama ilivyopangwa. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Nchini Profesa George Maghoha ni kuwa serekali haipanii kuahirisha mitihani hiyo hata licha ya washikadao Katika sekta elimu kutaka mitihani hiyo kuahirishwa kwa vigezo kuwa watahiniwa hajajiandaa kikamilifu. Akizungumza Katika shule yamsingi ya Mwiki Katika[Read More…]

Read More

IEBC Yawaonya Wanaopanga Kuwania Nyadhfa Mbalimbali Za Kisiasa Katika Uchaguzi Mkuu Mwaka Ujao Dhidi Ya Kutumia Stakabadhi Gushi Za Masomo.

  By Radio Jangwani, Watu wanaopanga kuwania nyadhfa mbalimbali za kisiasa katika uchaguzi mkuu mwaka ujao wameonywa vikali dhidi ya kutumia stakabadhi gushi za masomo. Tume ya Uchaguzi IEBC imesema inashirikiana kwa karibu na Mamlaka ya Kitaifa ya Kuhitimu Kenya National Qualifications Authority  ili kutambua stakabadhi gushi zitakazowasilishwa na wawaniaji mbalimbali. Mwenyekiti[Read More…]

Read More

Kilio Cha Haki – Jamii Ya Wasomali Ya Harti Na Issack Inaoishi Katika Kaunti Ya Isiolo Yalalama.

By Samuel Kosgei, Jamii ya wasomali ya Harti na Issack inaoishi katika kaunti hii ya Isiolo wameelezea dhulma ya kihistoria waliopitia mwaka 1965 iliowaacha umasikini. Dhulma hizo ni zikiwemo kunyanyaswa na hata kupokonywa ardhi walizokuwa wanamiliki wakati huo. Kulingana na  jamii hiyo ni kuwa walipitia hali ngumu kwa kupoteza mali[Read More…]

Read More

Shirika La Haki Afrika Laitaka NCIC Kufunganya Virago Vyake Iwapo Haitawajibika Katika Kudhibiti Mihemko Ya Kisiasa Na Malumbano Nchini.

  By Adano Sharawe, Shirika la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Haki Afrika linaitaka Tume ya uiano na utangamano wa kitaifa-NCIC kufunganya virago vyake iwapo haitawajibika katika kudhibiti mihemko ya kisiasa na malumbano makali nchini. Afisa wa maswala ya dharura wa Shirika hilo Mathias Shipetta amesema Tume hiyo imeshindwa kuwakabili[Read More…]

Read More

Serekali Itaendelea Kuwachukuliwa Hatua Viongozi Wachochezi Humu Nchini Kwa Kueneza Siasa Chafu.- Asema Kanali Cyrus Oguna.

By Waihenya Isaac, Serekali itaendelea kuwandama na kuchukuliwa hatua imesisitiza kuwa viongozi wachochezi humu nchini kwa kueneza siasa chafu. Haya kwa mujibu wa msemaji wa serekali kanali Cyrus Oguna. Akizungumza na wananshi wa habari akiwa mjini kilifi alipozuru kukagua miradi ya serekali, Oguna amesema kuwa serekali haitamsaza yeyote akaye chochea[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter