Featured Stories / News

Wananchi Wametakiwa Kuwajibika Wakti Wa Uchaguzi Na Kuwachagua Viongozi Wenye Maadili – Asema Kamishna Wa NCIC Denvas Makori.

By Isaac Waihenya, Wananchi wametakiwa kuwajibika wakti wa uchaguzi na kuwachagua viongozi wenye maadili. Kwa mujibu wa kamishna wa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC Denvas Makori ni kuwa ni jambo la kusikitisha mno kuona kuwa wananchi wamekuwa wakiilaumu tume hiyo kutokana na ukosefu wa maadili kutoka kwa viongozi[Read More…]

Wabunge Wanaounga Mkono Mwafaka Kati Ya Rais Uhuru Kenyatta Na Raila Odinga Kupanga Kumgatua Mamlakani Naibu Wa Rais William Ruto.

By Waihenya Isaac, Wabunge amabao wanaunga mkono mwafaka kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga sasa wanapanga kikao cha pamoja na huenda wakaafikiana Kuhusu kumgatua mamlakani Naibu wa Rais William Ruto. Kwa mujibu wa Mbunge  wa Kieni Kanini Kenga ni kuwa wabunge hao huenda wakawasilisha mswaada[Read More…]

Mwanafunzi Wa Kidato Cha Tatu Katika Shule Ya Wavulana Ya King David Kamama Katika Kaunti Ya Embu Apatikana Na Risasi Shuleni.

By Waihenya Isaac, Mwanafunzi wa kidato cha tatu Katika shule ya wavulana ya King David Kamama Katika kaunti ya Embu aliyepatikana akiwa na risasi  pamoja na mwenzake aliyepatikana akijaribu kutetekeza Bweni wanazuiliwa Katika kituo cha polisi cha Manyatta  kaunti ya Embu. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi Katika kaunti hiyo[Read More…]

Jamii Za Garre Na Murule Katika Kaunti Ya Mandela Zatoa Maazimio Yao Kwa Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC.

By Isaac Waihenya, Jamii za Garre na Murule ambazo zimekuwa zikizozana Katika kaunti ya Mandela Zimetoa maazimio yao kwa tume ya uiano na utengamano Nchini NCIC kama njia mojawapo ya kumaliza uhasama Katika eneo hilo. Maazimio hayo yaliyosomwa mbele ya wazee wa jamii hizo mbili pamoja na viongozi wa kaunti[Read More…]

Askofu Michael Otieno Odiwa Asimikwa Rasmi Na Kama Askofu Wa Kanisa Katoliki Jimbo La Homabay

By Samuel Kosgei, Askofu Michael Otieno Odiwa alisimikwa rasmi na kama Askofu wa kanisa Katoliki jimbo la Homabay Jumanne, baada ya uteuzi wake mwaka jana. Sherehe ya kusimikwa kwake ilifanyikia katika shule ya upili ya Homabay Boys. Hafla hiyo ya kumtawaza Askofu Odiwa iliongozwa na mwakilishi wa Papa humu nchi Kenya Askofu Mkuu Nuncio[Read More…]

NCIC Yaelezea Kusikitishwa Kwake Na Namna Mwakilishi Wa Kike Katika Kaunti Ya Isiolo Rehema Jaldesa Alivyojiwasilisha Katika Afisi Zao Hii Leo.

By Waihenya Isaac Tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC  imeelezea kusikitishwa kwake na namna mwakilishi wa kike Katika kaunti ya Isiolo Rehema Jaldesa alivyojiwasilisha Katika afisi zao hii leo. NCIC ilikuwa imemwagiza Rehema Jaldesa kufika mbele ya tume hiyo mida ya saa nne asubuhi kabla ya kupokea barua kutoka[Read More…]

Wabunge Wanaoegemea Mrengo Wa Naibu Wa Rais William Ruto Wameendelea Kuukosa Namna Serikali Inavyowabagua.

  By Samuel Kosgei, Wabunge wanaoegemea mrengo wa naibu wa rais William Ruto wameendelea kuukosa namna serikali inavyowabagua wabunge hao kwa kutowapa ulinzi kwenye mikutano yao na hata wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida. Wakizungumza katika makao ya naibu wa rais mtaani Karen wabunge hao Zaidi za 130 wamedai kuwa[Read More…]

Wawakilishi Wadi Kutoka Kaunti Ya Kisumu,Homabay Na Kaunti Ya Migori Wameahidi Kupitisha Mswada Wa Marekebisho Ya Katiba BBI.

By Waihenya Isaac, Wawakilishi wadi Kutoka kaunti ya Kisumu,Homabay na kaunti ya Migori wameahidi kupitisha mswada wa marekebisho ya Katiba BBI. Kwenye Mkutano ulioandaliwa Katika kaunti Ya Kisumu wajumbe hao walitaja kuwa watafuata mfano wa bunge la kaunti ya Siaya kwa kupitisha mswaada huo kabla ya wiki hii kukamilika. Akizungumza[Read More…]

Subscribe to eNewsletter