Featured Stories / News

Mzee Mmoja Amuua Kwa Kumkatakata Mwanawe Mwenye Umri Wa Miaka 43 Kijiji Cha Karugu Kilichoko Eneo La Gikuu Embu Mashariki Kaunti Ya Embu.

By Waihenya Isaac, Hali ya huzuni imekikumba kijiji cha Karugu kilichoko eneo la Gikuu Embu mashariki kaunti ya Embu baada ya mzee mmoja kumuua kwa kumkatakata mwanawe mwenye umri wa miaka 43. Inadaiwa kuwa maremu Alexender Munene aliyekuwa mlevi alikuwa ameenda kutatua mzozo baaina ya wazazi wake,wakati babake mzazi Benjamin[Read More…]

Serikali Itahakikisha Miradi Yote Ya Kitaifa Imekamilika – Asema Katibu Katika Wizara Ya Mawasiliano Jerome Ochieng

  By Samuel Kosgei. Serikali imesisitiza kuwa itahakikisha miradi yote ya kitaifa imekamilika. Katibu katika wizara ya mawasiliano Jerome Ochieng amesema kuwa serikali imetenga mabillioni ya pesa kwa miradi hiyo na haitaiacha. Akizungumza katika eneo la Mogotio, kaunti ya Baringo, Ochieng amekana madai kuwa juhudi nyingi zimeelekezwa kwa BBI badala[Read More…]

Maafisa Wa Polisi Kutoka Kambi Ya Mafunzo Ya Kedong Na OCPD Wa Naivasha Waharibu Zao La Bhangi Lenye Thamani Ya Sh Milioni 27.

By Samuel Kosgei, Kitengo cha maafisa wa upelelezi wa kukabiliana na dawa za kulevya, maafisa wa polisi kutoka kambi ya ya mafunzo ya  Kedong na OCPD wa Naivasha wameharibu zao la bhangi lenye thamani ya Sh Milioni 27. Washukiwa 14 ambao walipatikana wakipalilia bhangi hiyo kwenye shamba la zaidi ya ekari[Read More…]

Tume Ya NCIC Ipewe Nguvu Zaidi – Wasema Waadhiriwa Wa Ghasia Za Baada Ya Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2007/2008.

By Waihenya Isaac Vuguvugu la wakimbimzi wa ndani kwa ndani walioadhirika na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2007/2008 wamependekeza mageuzi ya sheria ili kuipa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC nguvu zaidi. Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Kitale waadhiriwa hao wametaja kuwa ni vyema[Read More…]

Mwanamume Mmoja Aaga Dunia Wakti Akichimba Kisima Katika Eneo La Alamanu Mji Wa Mararal Kaunti Ya Samburu.

By Waihenya Isaac, Mwanamume mmoja ameaga dunia wakti akichimba kisima katika eneo la Alamanu mji wa Mararal katika kaunti ya Samburu. Akidhibitisha kisa hicho Kamanda wa polisi katika kaunti ndogo ya Samburu ya kati Alex Rotich amesema kuwa huenda marehemu alifariki kutokana na matatizo ya kupumua kabla afike mwisho wa[Read More…]

Watu Tisa Wafariki Katika Ajali Iliyotokea Hii Leo Asubuhi Katika Eneo La Soysabu Gilgil Kwenye Barabara Kuu Ya Nakuru Kuelekea Nairobi.

  By Waihenya Isaac, Watu tisa wamefariki katika ajali iliotokea hii leo asubuhi  katika eneo la Soysabu GilGil kwenye barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi. Ajali hiyo iliyohusisha Matatu ya kampuni ya Mololine na Lori ilifanyika karibu na hospitali ya St Mary’s Ambapo tisa hao walifariki papo hapo. Akidhibitisha Kisa[Read More…]

Wananchi Wametakiwa Kuwajibika Wakti Wa Uchaguzi Na Kuwachagua Viongozi Wenye Maadili – Asema Kamishna Wa NCIC Denvas Makori.

By Isaac Waihenya, Wananchi wametakiwa kuwajibika wakti wa uchaguzi na kuwachagua viongozi wenye maadili. Kwa mujibu wa kamishna wa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC Denvas Makori ni kuwa ni jambo la kusikitisha mno kuona kuwa wananchi wamekuwa wakiilaumu tume hiyo kutokana na ukosefu wa maadili kutoka kwa viongozi[Read More…]

Subscribe to eNewsletter