Serikali ya jimbo la Marsabit latakiwa kuongeza vifaa vya kuzoa takataka mjini na viunga vyake.
June 17, 2025
By Samuel Kosgei.
Serikali imesisitiza kuwa itahakikisha miradi yote ya kitaifa imekamilika.
Katibu katika wizara ya mawasiliano Jerome Ochieng amesema kuwa serikali imetenga mabillioni ya pesa kwa miradi hiyo na haitaiacha.
Akizungumza katika eneo la Mogotio, kaunti ya Baringo, Ochieng amekana madai kuwa juhudi nyingi zimeelekezwa kwa BBI badala ya maendeleo.
Kulingana na Ochieng, makatibu katika wizara mbali mbali wameagizwa kukaguwa miradi yote ya kitaifa na kuhakikisha kuwa imekamilika.
Ochieng pia alidokeza kwamba Afisi mpya za Polisi wa Utawala katika eneo hilo zitakamilika mwishoni mwa mwezi huu.