Featured Stories / News

NCIC Yatupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna.

By Adano Sharawe. Tume Ya Kitaifa Ya Uwiano Na Utangamano NCIC Imetupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna Kuhusiana Na Matamshi Yasiyofaa Waliyotoa Hivi Majuzi Wakati Wa Kampeni Za Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni. Kamishna Wa Tume Hiyo Ya NCIC Danvas Makori[Read More…]

Mamake Musalia Mudavadi, Hannah Atsianzale Mudavadi Aaga Dunia.

By Waihenya Isaac & Jillo Dida Mamake Aliyekuwa Kinara Wa ANC Musalia Mudavadi Hannah Atsianzale Mudavadi Ameaga Dunia. Atsianzale Ameaga Dunia  Saa Kumi Na Moja Alfajiri Ya Leo Alipokuwa Akipokea Matibabu Katika Hospitali Ya Nairobi Akiwa Na Umri Wa Miaka 92. Ripoti Kuhusiana Na Kifo Chake Zimewekwa Wazi Na Musalia[Read More…]

Afueni Kwa Wakaazi Wa Maeneo Ya Garma Kaunti Ya Samburu Baada Ya Serekali Ya Kaunti Kuzindua Kisima Cha Maji.

By Waihenya Isaac. Wakaazi Wa Maeneo Ya Garma  Pamoja Na Vijiji Jirani  Katika Kaunti Ndogo Ya Samburu Ya Kati Wanakila jambo la Kutabasamu  Baada Ya Safari Ndefu Wazikuwa Wakitembea Wakitafuta Maji Kufupishwa. Hii Ni Baada Ya Serekali Ya Kaunti Ya Samburu Kwa Ushirikiano Na Hazina Ya Maji Katika kaunti Hiyo [Read More…]

Wanafunzi Ambao Hutegemea Basari Ya Hazina Ya CDF Kukimu Karo Huenda Wakasalia Nyumbani Wakati Shule Zitakapofunguliwa Mwezi Ujao.

By Adano Sharawe. Wabunge wameonya kuwa maelfu ya wanafunzi kutoka familia masikini na zisizojiweza pamoja na mayatima ambao hutegemea bursari ya hazina ya CDF kukimu karo huenda wakasalia nyumbani wakati shule zitakapofunguliwa mwezi ujao. Wabunge wanasema hawajapokea mgao wa fedha za hazina ya ustawi wa maeneobunge yao (NG-CDF) kwa miezi[Read More…]

NCIC Yaapa Kuwachukua Hatua Kali Wanasiasa “Ambao Watavunja Sheria” Wakati Wa Chaguzi Ndogo Zijazo.

By Waihenya Isaac Tume Ya Uwiano Na Utangamano  Nchini NCIC Imeapa Kuwachukua Hatua Kali  Wanasiasa “Ambao Watavunja Sheria” Wakati Wa Chaguzi Ndogo Zijazo. Kupitia Mwenyekiti Wake  Samuel Kobia NCIC  Imetaja Kuwa Imepata Funzo Katika Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni, Ambao Uligubikwa Na Cheche Za Chuki Katika  Kipindi Cha Kampeni. Kobia Ameahidi[Read More…]

Subscribe to eNewsletter