Featured Stories / News

Mswada kuhusu dawa za kulevya kurejeshwa Bungeni – wakati huu ukiwa na vipengee vinavyopendekeza adhabu kali zaidi.

Na Waihenya Isaac, Rais Uhuru Kenyatta ana mpango wa kurejesha mswada wa mwaka jana bungeni kuhusu dawa za kulevya, wakati huu ukiwa na vipengee vinavyopendekeza adhabu kali zaidi. Tayari baadhi ya wabunge wamepongeza hatua hii lakini kwa wakati huo akaomba mswada huo upigwe msasa ili uzingatie zaidi kumsaidia mraibu kurekebika[Read More…]

Dereva aliyehusika katika ajali iliyowaua watu wawili hula hula Marsabit awasilishwa mahakamani.

By Grace Gumato Na katika mahakama hiyo hiyo ya Marsabit, dereva aliyehusika katika ajali ya Hulahula iliyowaua watu wawili amewasilishwa mahakamani. Isaya Roble Elsimonte alifikiwa mbele ya hakimu Tom Mbayaki na kushtakiwa kwa mashataka ya mauaji ya kukusudia kwa kuendesha gari vibaya kinyume na sheria. Elsimote alikamatwa siku ya Jumatatu[Read More…]

Chama cha KNUT chatazamiwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake tarehe 26 mwezi huu.

By Waihenya Isaac, Chama cha waalimu nchini KNUT kinatazamiwa kufanya uchaguzi wa kuwachagua viongozi wake tarehe 26 mwezi huu. Akizungumza na waandishi wahabari mjini Eldoret naibu katibu wa chama cha KNUT Hezbon Otieno amesema kwamba mipango yote imekamilika ya kufanikisha uchaguzi huo ikizingatia kanuni zilizoko za kukinga maambukizi ya virusi[Read More…]

Subscribe to eNewsletter