Featured Stories / News

Wakaazi wa Marsabit wataka kutekelezwa kwa miradi ambayo imejumuishwa kwenye programu ya maendeleo katika kipindi cha 2023-2027

Na Caroline Waforo Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametaka kutekelezwa kwa miradi ya maendeleo ambayo imejumuishwa katika ruwaza ya serikali kuu ya mwaka 2023/27. Wakitoa maoni yao katika uzinduzi wa nne wa mpango wastani ambao unajumuisha kipindi cha mwaka 2023-2027, kikao cha kuhusisha umma na ufafanuzi wa programu ya maendeleo[Read More…]

Na Caroline Waforo Serikali itatumia shilingi milioni 612 ili kuunganisha kaunti ya Marsabit na mfumo wa umeme wa taifa, National grid kutoka Loiyangalani hadi mjini Marsabit. Haya yamebainika katika uzinduzi wa nne wa mpango wastani ambao unajumuisha kipindi cha mwaka 2023-2027, kikao cha kuhusisha umma na ufafanuzi wa programu ya[Read More…]

Serikali yatenga shilingi millioni 300 kufanikisha ujenzi wa mahala pa kuendeleza biashara ya samaki Loiyangalani.

Na Carol Waforo   Katika juhudi za kuwahakikishia wakaazi wa Kaunti ya Marsabit usalama wao wa chakula serikali inapanga kufanya miradi mbalimbali ya maji itakayopiga jeki ukulima. Hii ni pamoja na kujenga mabwa pamoja na kuchimba visima vya maji katika maeneo tofauti humu Jimboni Marsabit. Haya yamebainika katika uzinduzi wa[Read More…]

Morgan Heritage Releases new song with Latin rhythms.

Granny award-winning reggae group Morgan Heritage, is back with a new single titled “Te Adoro”. The Spanish song that translates to “I Adore You” showcases the band’s versatility and cross-genre appeal, solidifying their status as musical trailblazers. “Te Adoro” marks Morgan Heritage’s highly anticipated comeback after their acclaimed album “The[Read More…]

IDARA YA ELIMU MARSABIT YAKANA KUWEPO KWA UPUNGUFU WA MADARASA SHULE YA CHEKECHEA YA ELEBOR WAKIITAJA KAMA SIASA

Na Caroline Waforo Baada ya malalamishi ya wakaazi wa eneo la Elebor iliyoangaziwa na Radio Jangwani kuhusu uhaba wa madarasa katika shule ya chekechea ya Elebor iliyoko kaunti ndogo ya Sololo, idara ya elimu humu jimboni Marsabit imelaani malalamishi hayo ikiyataja kama yaliyochochewa kisiasa. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani[Read More…]

Subscribe to eNewsletter