Featured Stories / News

WANAOTEGEMEA DHAHABU WAOMBWA KUVUMILIA HADI MARUFUKU ILIYOWEKWA NA SERIKALI ITAKAPOKAMILIKA.

Na Samuel Kosgei NAIBU kamishna wa kaunti ndogo ya Moyale Benedict Munywoki amekariri umuhimu wananchi wa eneo la Dabel kunakochimbwa dhahabu kuzidi kuvumilia hadi marufuku iliyowekwa na serikali itakapokamilika. Munywoki akizungumza na kituo hiki kwa njia ya simu amesema kuwa iwapo wananchi wataepuka kufika eneo la mgodi wa dhahabu basi[Read More…]

ASILIMIA 36 YA MGAO WA YA MARSABIT KUENDEA MAENDELEO HUKU ASILIMIA 64 IKIENDEA MATUMIZI YA KILA MWEZI IKIWEMO MISHAHARA YA WAFANYAKAZI.

Na Samuel Kosgei KAMATI ya fedha na mipango katika bunge la kaunti ya Marsabit imeitaka wananchi wa Marsabit kuhudhuria na vikao vya kudhibitisha miradi waliopendekeza kwenye mikutano ya hapo awali. Mwenyekiti wa kamati hiyo ya fedha Daud Tomasot akizungumza na kituo amesema kuwa ni vyema wananchi kuhudhuria vikao hivyo ili[Read More…]

VIONGOZI WA VIJANA KATIKA LOKESHENI YA NAGAYO ENEOBUNGE LA SAKU, KAUNTI YA MARSABIT WATAKA VIONGOZI KUANGAZIA MASWALA UKOSEFU WA AJIRA.

Na Johnbosco Nateleng   Kiongozi wa vijana katika lokesheni ya Nagayo eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit Hussein Liban Boru ametaka viongozi kuangazia maswala ya kuwainua vijana katika eneo hilo kwani vijana wengi hawana kazi. Boru amesema kuwa kwa manufaa ya vizazi vijavyo ni sharti viongozi wajitolee na kuwahamazisha[Read More…]

WAZIRI KITHURE KINDIKI ATAHADHARISHA VYOMBO VYA HABARI NCHINI DHIDI YA KUENEZA MATAMSHI YA UCHOCHEZI WA UMMA.

Na Caroline Waforo Waziri wa usalama wa kitaifa Kithure Kindiki ametahadharisha vyombo vya habari nchini dhidi ya kueneza maneno ya uchochezi wa umma. Waziri alizungumza katika uzinduzi wa nne wa mpango wastani ambao unajumuisha kipindi cha mwaka 2023-2027, kikao cha kuhusisha umma na ufafanuzi wa programu ya maendeleo katika kaunti[Read More…]

Subscribe to eNewsletter