Featured Stories / News

Mwakilishi wa Kike Kaunti ya Marsabit Naomi Jilo Waqo Akariri Haja ya Wananchi wa Marsabit Kuzidi Kuishi Kwa Amani

Na Samuel Kosgei Mwakilishi wa kike kaunti ya Marsabit Naomi Jilo Waqo amekariri haja ya wananchi wa Marsabit kuzidi kuishi kwa amani na kuzidi kuvumiliana kwa minajili ya maendeleo ya jimbo. Akizungumza na kituo hiki kwenye kipindi cha Bunge Letu Asubuhi, Naomi alikumbusha umuhimu wa kuishi kwa uwiano kati ya jamii[Read More…]

Subscribe to eNewsletter