Wakaazi wa Karare, wanufaika na msaada wa chakula na vifaa vingine vya matumizi kutoka kwa katibu Kello Harsama.
January 9, 2025
By Waihenya Isaac, Mitihani ya kitaifa itaendelea kama ilivyopangwa. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Nchini Profesa George Maghoha ni kuwa serekali haipanii kuahirisha mitihani hiyo hata licha ya washikadao Katika sekta elimu kutaka mitihani hiyo kuahirishwa kwa vigezo kuwa watahiniwa hajajiandaa kikamilifu. Akizungumza Katika shule yamsingi ya Mwiki Katika[Read More…]
By Radio Jangwani, Watu wanaopanga kuwania nyadhfa mbalimbali za kisiasa katika uchaguzi mkuu mwaka ujao wameonywa vikali dhidi ya kutumia stakabadhi gushi za masomo. Tume ya Uchaguzi IEBC imesema inashirikiana kwa karibu na Mamlaka ya Kitaifa ya Kuhitimu Kenya National Qualifications Authority ili kutambua stakabadhi gushi zitakazowasilishwa na wawaniaji mbalimbali. Mwenyekiti[Read More…]
By Samuel Kosgei, Jamii ya wasomali ya Harti na Issack inaoishi katika kaunti hii ya Isiolo wameelezea dhulma ya kihistoria waliopitia mwaka 1965 iliowaacha umasikini. Dhulma hizo ni zikiwemo kunyanyaswa na hata kupokonywa ardhi walizokuwa wanamiliki wakati huo. Kulingana na jamii hiyo ni kuwa walipitia hali ngumu kwa kupoteza mali[Read More…]
By Adano Sharawe, Shirika la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Haki Afrika linaitaka Tume ya uiano na utangamano wa kitaifa-NCIC kufunganya virago vyake iwapo haitawajibika katika kudhibiti mihemko ya kisiasa na malumbano makali nchini. Afisa wa maswala ya dharura wa Shirika hilo Mathias Shipetta amesema Tume hiyo imeshindwa kuwakabili[Read More…]
By Waihenya Isaac, Serekali itaendelea kuwandama na kuchukuliwa hatua imesisitiza kuwa viongozi wachochezi humu nchini kwa kueneza siasa chafu. Haya kwa mujibu wa msemaji wa serekali kanali Cyrus Oguna. Akizungumza na wananshi wa habari akiwa mjini kilifi alipozuru kukagua miradi ya serekali, Oguna amesema kuwa serekali haitamsaza yeyote akaye chochea[Read More…]
By Samuel Kosgei, Vyama vinne katika kaunti ya Isiolo kikiongozwa na chama cha ODM, KANU, NARC na PNU wamejitokeza na kudokeza kwamba watafanya kazi kwa umoja ili kuhakikisha ripoti ya BBI inapata uungwaji mkono kutoka kwa wakaazi wa kaunti ya Isiolo. Wakiongea na vyombo vya habari katika afisi za ODM[Read More…]
By Waihenya Isaac, Bunge la Kaunti ya Siaya limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Katiba BBI ambao utanatajiwa fungua njia kwa kura ya maoni nchini. Bunge hilo limekuwa la kwanza kuidhinisha mwaada huo uliowasilishwa kwa mabunge ya kaunti na tume huru ya uchaguzi na mipaka Nchini IEBC baada ya kusanifisha Zaidi[Read More…]
By Waihenya Isaac, Wakazi wa kaunti ya Samburu waamrishwa kuwasilisha bunduki haramu ambazo wanamiliki kama njia moja ya kuimarisha usalama Katika kaunti hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa polisi Katika kaunti ya samburi Samson Ogelo amesema kuwa Bunduki haramu kumi na saba zimetolewa mikononi mwa raia katika kipindi[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Aliyekuwa waziri Marehemu Simeon Nyachae atapumuzishwa katika hafla ya siri mnamo siku ya Jumatatu Feb 15 mwaka huu nyumbani mwake Nyosia kijijini Nyaribari Chache katika kaunti ya Kisii. Haya ni kulingana na Taarifa kutoka kamati na Familia lake ikiongozwa na mwanawe Charles Nyachae. Aidha ibada ya[Read More…]
By Samuel Kosgei, Utafiti mpya uliofanywa sasa unaonesha kuwa asilimia 70 ya vijana nchini watapiga kura kuangusha mpango mzima wa (BBI) ikiwa ingefanyika leo huku asilimia 30 wakiunga mkono. Utafiti huo uliotolewa na Taasisi ya Emerging Leaders Foundation (ELF) Afrika, umefichua kuwa asilimia 40 wavulana wataipinga huku asilimia 21 wakiunga[Read More…]