KAUNTI YA MARSABIT YALENGA KUHAKIKISHA SHERIA YA KUWALINDA WALEMAVU IMEBUNIWA KUFIKIA MWISHONI MWA MWAKA WA 2025.
December 3, 2024
By Jillo Dida Jillo,
Aliyekuwa waziri Marehemu Simeon Nyachae atapumuzishwa katika hafla ya siri mnamo siku ya Jumatatu Feb 15 mwaka huu nyumbani mwake Nyosia kijijini Nyaribari Chache katika kaunti ya Kisii.
Haya ni kulingana na Taarifa kutoka kamati na Familia lake ikiongozwa na mwanawe Charles Nyachae.
Aidha ibada ya Mazishi itafanyika siku hiyo hiyo uwanjani Nyanturago kuanzia saa 9 asubuhi kabla ya maandamano ya kuondoka kwenda nyumbani kwake.
Siku ya ijumma 11 pia ibada ya Maombi itafanyika jijini Nairobi katika kanisa ya SDA Church-Maxswell kwa niamaba ya Familia kuazia saa 10 asubui.
Ikumbukwe Marehemu Nyachae alifuka tarehe mosi mwezi huu katika Hospitali ya Nairobi baada ya kuungua kwa muda.
Nyachae alizaliwa February 6, 1932 katika Kijiji cha Nyaribari, kaunti ya Kisii.