Understanding Elavil: Uses, Benefits, and Safety
December 26, 2024
By Waihenya Isaac JSC imewaorodhesha watu 10 watakaohojiwa ili kujaza pengo la jaji mkuu aliyestaafu David Maraga. Kwenye taarifa iliyotumwa kwenye vyombo vya habari,tume hiyo pia imewaorodhesha watu wengine 9 watakaohojiwa kwa nafasi ya jaji wa mahakama ya upeo. Walioorodheshwa kwa nafasi hiyoni pamoja na Jaji Said Chitembwe, Prof[Read More…]
By Mark Dida, Kaunti ya Meru imeaanda kikao cha kuhusisha umma katika kujadili mswaada wa BBI huku kamati mbili zikiweza kujukumiwa kuhamasisha umaa kuhusiana na ripoti hiyo. kamati hizo ambazo ni ile ya sheria na ile ua utangamano na uhusiano mwema katika kaunti ya Meru ziliandaa zoezi hilo ili kufikia[Read More…]
By Waihenya Isaac Zoezi la kuwasajili makurutu watakaojiunga na kikosi cha jeshi KDF limekalika rasmi Katika kaunti ya Turkana huku idadi ya wanawake na wanaume waliohitimu kujiunga na kitengo cha wanahewa ikiwa ndogo sana. Kwa mujibu wa afisa aliyesimamia oparesheni hiyo Kanali Kitonyi ni kuwa zoezi hilo lilikumbwa na chagamoto[Read More…]
By Waihenya Isaac Huku serekali ikiendelea kuhakikisha kuwa miradi yake inakamilika kabla ya rais Uhuru Kenyatta kuondoka mamlakani,Msemaji wa serekali Kanali Cyrus Oguna amezuru kaunti za Meru na Isiolo ili kutadhimini juhudi za kupambana na nzige wa Jangwani. Akizungumza Katika eneo la Burati kaunti ya Isiolo, Oguna amesema kuwa serekali[Read More…]
By Samuel Kosgei, Mwakilishi wa Mwanamke wa Homa Bay Gladys Wanga sasa anasema wanasiasa wote wanaopinga kura ya maoni ya BBI wanapaswa kutumwa nyumbani kwa kutochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2022. Wanga amesema haitakuwa haki kwa wanasiasa hao kuruhusiwa kutekeleza BBI ikiwa itapita ikizingatiwa kuwa hawana nia njema. Mbunge huyo[Read More…]
By Samuel Kosgei, MAAFISA wa Shirika la Fedha Ulimwenguni (IMF) wanaozuru Kenya wametangaza kuwa shirika hilo litaipa Kenya mkopo wa Shilingi bilioni 262.7 Katika taarifa kutoka ujumbe wa shirika hilo mkopo huo ambao utatolewa kwa kipindi cha miezi 38 ijayo utatumika kufadhili mipango ya kupambana na athari za Covid-19 kwa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Kaunti zilizopo mipakana mwa nchini zimetakiwa kuchukua tahadhari ili kuzuia wimbi jipwa la virusi vya korona. Akizungumza alipozuru hospitali ya Rufaa ya Narok kaunti ya Narok hii leo waziri wa afya Mutahi Kagwe ametaja kuwa kaunti zilizopo Katika mipaka ya kenya na mataifa mengine zipo Katika hatari[Read More…]
By Samuel Kosgei. Uga wa Gusii, katika Kaunti ya Kisii, sasa utatambulika kama Simeon Nyachae Stadium. Rais Uhuru Kenyatta amesema hii ni kwa heshima na kumbukumbu ya Mzee Simeon Nyachae, aliyezikwa hii leo kufuatia kifo-chake kilichotokea mapema mwezi huu. Kenyatta amewaongoza Wakenya katika kuhudhuria hafla ya mazishi ya Waziri na[Read More…]
By Samuel Kosgei, Mabunge ya Kaunti wiki hii yanatarajiwa kuendeleza mjadala kuhusu BBI, wakati ambapo waakilishi wadi toka kaunti za Magharibi mwa Kenya wakidai donge nono la shilingi nusu-milioni mbali na ruzuku ya milioni 2 ya gari, kabla ya kupitisha mswada huo. Tayari Mabunge ya Siaya, Kisumu, na Homabay yamepitisha[Read More…]
By Samuel Kosgei Wafanyakazi katika Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji, ndio wa hivi punde kutuma risala za rambirambi kwa familia ya Seneta wa Garissa Yusuf Haji. Wafanyakazi hao, kupitia ujumbe, wamempa pole-zao Noordin Haji kufuatia kifo cha babake asubuhi ya leo, na kumtaja kama balozi mkuu[Read More…]