NDOTTO WARRIORS WATWA UBINGWAWA TAJI LA AHMED KURA TOURNAMENT MWAKA 2024…
December 18, 2024
sport bulletins
Na Isaac Waihenya. Klabu ya Gor Mahia imemtambulisha kocha wao mpya Jonathan McKinstry kuchukua nafasi ya Mjerumani Andres Spiers ambaye aliigura klabu klabu hiyo mwezi uliopita. McKinstry raia wa Ireland ametambulishwa hii leo kwa umaa na mwenyekiti wa Gor Mahia Ambrose Rachier huku akisaini mkataba wa miaka miwili. Meneja huyo[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Klabu ya Liverpool imemsajili kiungo wa FC Porto ya Ureno Luis Diaz kwa kima cha Euro milioni 60. Raia huyo wa Colombia ametia sahihi mkataba wa miaka mitano unusu na wekundu wa Anfield. Kupitia ukurasa wao wa Twitter Liverpool imetaja kukamilika kwa uhamisho huo kama jambo lililosubiriwa[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Mchuano wa kuwania kombe la ligi kuu nchini Uingereza kati ya Manchester United dhidi ya Brentford imeahirishwa kutokana na mkurupuko wa visa vya korona katika kambi ya Man United. Kupitia Kurasa zao za kijamii vilabu vyote viwili vimedhibitisha kuahirishwa kwa mechi hiyo iliyotarajiwa kusakatwa hii leo usiku[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa Harambe Stars Mcdonald Mariga amekosoa kauli ya rais wa FKF Nick Mwendwa kuwa Kenya haina vipaji vya kutosha kuiwakilisha katika soka ya kimataifa. Mchezaji huyo wa zamani wa Inter Milan ya Italia ameyataja matamshi ya Mwendwa kama matusi kwa vijana ibukia[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Cristiano Ronaldo anaripotiwa kutaka kukatiza hatma yake na Juventus na kuwa huru kurejea Manchester United. Mreno huyo anakumbana na hatma finyu na miamba hao wa Italia na amekuwa akihusishwa na kutaka kuondoka jijini Turin. Inaarifiw akuwa mshabuliazi huyo anawazia kuungana tena na Mashetani Wekundu huku akiwa yuko[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Shirikisho la Raga Duniani limetangaza ratiba ya mechi za Kombe la Bara Afrika zitakazotumiwa kama mashindano ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2023. Timu ya taifa ya Kenya ya raga ya wachezaji 15 kila upande maarufu kama Simbas itaanza kampeni yake dhidi ya Senegal Julai 3[Read More…]
By Waihenya Isaac, Nyota wa klabu ya Westham United,Jesse Lingard amesema kuwa hana mpango wa kurejea kwenye klabu yake ya Manchester United. Lingard ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Westham kwa mkopo tangu mwezi Januari mwaka huu akitokea Klabu ya Manchester United yupo kwenye fomu nzuri kwa sasa, huku akitaja[Read More…]
By Waihenya Isaac, Klabu ya Gor Mahia imetua mjini Lusaka Zambia, huku kikosi hicho kikitarajiwa kufanya mazozezi mepesi kabala ya mechi ya marudio kati yao na NAPSA All Stars ya Zambia Katika mchuano wa kufuzu kwa hatua ya makundi ya kombe la shirikisho la soka barani Afrika CAF Confederation Cup.[Read More…]
By Waihenya Isaac, Michuano ya kuwania kombe la Klabu Bingwa barani ulaya UEFA Champions league awamu ya 16 Bora inarejelewa leo usiku huku mechi mbili zikiratibiwa kugaragazwa. Bingwa wa mwaka wa 2019/2020 Liverpool atamenyana na RB Leipzig ya ujerumani jijini Budapest Nchini Hungary itimiapo saa tato usiku. Mechi imelamika kuchezewa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Draw Ya Kombe la FA awamu ya Robo Fainali yatolewa huku mechi hizo zikiratibiwa kupigwa tarehe 20 na 21 mwezi machi mwaka huu. Bingwa wa Kombe hilo mwaka wa 2019 Manchester City watasafiri hadi ugani Goodson Park kumenyana na Everton katika kampeni ya kusaka taji lao la[Read More…]