Diocese of Marsabit

Wakaazi wa lokesheni ya Tigo eneo bunge la North Horr watoa wito kwa serikali kuwajengea shule ya msingi.

Na Samwel Kosgei, wa lokesheni ya Tigo eneo bunge la North Horr kaunti ya Marsabit, wametoa wito kwa serikali kupitia viongozi wao kuwajengea shule ya msingi katika eneo hilo. Wakaazi hao kwa masikitiko wameambia Shajara Ya Jangwani kuwa ukosefu wa shule ya msingi ya umma umewaathiri wanafunzi wengi kwani baadhi[Read More…]

Read More

Viongozi wa kidini katika kaunti ya Marsabit wawataka wananchi kuwachagua viongozi wacha Mungu.

Na Samuel Kosgei. Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich ameihakikishia umma kuwa kura ya uchaguzi mkuu hapa Marsabit utafanyika kwa njia ya utulivu na Amani. Akizungumza katika uwanja wa Marsabit wakti wa maombi kwa ajili ya jimbo, Rotich alisema kuwa wao kama serikali wameimarisha usalama na maafisa wao watazidi[Read More…]

Read More

Gavana wa Marsabit Mohamud Ali asema jamii ya Borana imeridhia kuwaachia jamii zingine baadhi ya viti katika kaunti.

Na Isaac Waihenya, Gavana wa Marsabit Mohamud Ali ametangaza kuwa jamii ya Borana kwa kauli mmoja imekubaliana kuachia nafasi zingine za uongozi kwa jamii zingine na kuwania nafasi ya Ugavana pekee. Gavana Ali amesema kuwa jamii hiyo itafanaya kazi na jamii zingine katika kaunti hii na kuzipa nafasi ya kuwa[Read More…]

Read More

Jumla ya mifugo 224,000 wameangamia kutokana na makali ya ukame katika kaunti ya Marsabit tangu mwaka wa 2021.

Na Grace Gumato, Jumla ya mifugo 224,000 wameangamia kutokana na makali ya ukame katika kaunti ya Marsabit tangu mwaka wa 2021. Kwa mijibu wa Henry Mustafa ambaye ni mkurungezi wa mamlaka ya kukabiliana na majanga kaunti Marsabit NDMA, Kondoo na mbuzi 30,000 wameweza kuangamia katika kaunti ndogo ya Noth Horr.[Read More…]

Read More

Muungano wa wahubiri wa kanisa la PEFA Marsabit wawataka wakaazi kushirikiana na serikali ya kaunti ili kutafuta njia mwafaka ya kusuluhisha migogoro ya mara kwa mara.

Na Irene Wamunda, Muungano wa wahubiri wa kanisa la PEFA hapa Marsabit wamewataka wakaazi wa Marsabit kushirikiana na serikali ya kaunti ili kutafuta njia mwafaka ya kusuluhisha migogoro ya mara kwa mara baina ya jamii zinazoishi katika kaunti hii. Wakizungumza na wanahabari kule Kanisani PEFA, Wahubiri hao wamekashifu vikali visa[Read More…]

Read More

Kaunti ya Marsabit imeongezewa kauti ndogo 4 zaidi na kuifainya kuwa na jumla ya kaunti ndogo kuwa 13.

Na Isaac Waihenya, Kaunti ya Marsabit imeongezewa kauti ndogo 4 zaidi na kuifainya kuwa na jumla ya kaunti ndogo kuwa 13. Kupitia gazeti rasmi la serekali, wizara ya usalama wa ndani imeziongeza kaunti ndogo za Korr makao yake makuu yakiwa ni Korr, Sagante/Jaldesa, Uran  na  kaunti ndogo ya Golbo ambayo  makao[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter