WAUGUZI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAMEAPA KUENDELEA NA MGOMO WAO HADI PALE SERIKALI YA KAUNTI YA MARSABIT ITAKAPOSHUGHULIKIA MATAKWA YAO YOTE.
September 19, 2024
County updates, notifications, news from the Marsabit County
By Adho Isacko. Wafanyikazi Katika Sekta Ya Uchukuzi Kaunti Ya Marsabit Wamelalaimikia Kile Walichokitaja Kuwa Kudorora Kwa Biashara Baada Ya Sheria Mpya Za Kuzui Kusambaa Kwa Virusi Vya Korona. Serekali Kupitia Wizara Ya Afya Iliagiza Magari Yote Ya Usafiri Kupunguza Idadi Ya Abiria Kama Njia Mojawapo Ya Kuzua Msambao Wa[Read More…]
By Mark Dida. Makundi 15 Ya Wanawake Na Vijana Kutoka Kaunti Ya Marsabit Wamenufaika Na Shilingi Milioni 1.5 Kutoka Kwa Afisi Ya Mwakilishi Wa Wanawake Wa Marsabit Safia Shehk Adan. Akiogoza Hafla Hiyo Kamishna Wa Kaunti Ya Marsabit Paul Rotich Amesema Kwa Makundi Hayo Sasa Yanaweza Kuendeleza Miradi Mbali Mbali[Read More…]
By Mark Dida, Mahakama Ya Marsabit Imeahirisha Kutajwa Kwa Kesi Ya Washukiwa Wawili Wa Uwindaji Haramu James Legalorah Na Leserian Lejir Waliopatikana Na Kilo 51.5 Za Pembe Wiki Mbili Zilizopita Katika Eneo La Lag Malgis Kaunti Ya Marsabit. Hii Ni Baada Ya Washukiwa Hao Kutakiwa Wajitenge Kwa Siku 14 Baada[Read More…]
Na Adho Isacko, Mwakilishi Wa Wadi Ya Marsabit Ya Kati Hassan Jarso Amewasihi Wafanyikazi Wa Kampuni Ya Majitaka Ya Sino-Hydro Kurudi Kazini Kufuatia Mgomo Wao Ambao Umeingia Siku Ya 5 Hii Leo. Akizungumza Nao Nje Ya Afisi Ya Kamishna Wa Kaunti Hii, Jarso Amewaambia Kuwa Wameweza Kuzungumza Na Maafisa Wakuu[Read More…]
By Mark Dida, Wafanyabiashara mjini Marsait, wamelalamikia kile wanachosema ni hatua ya maafisa wa idara ya kuzoa taka katika kaunti ya Marsabit, kujikokota kuondoa taka mjini humu. Wamesema kuwa taka hizo ambazo zimerundikana katikati ya mji, zinatoa uvundo kiasi cha kuyumbisha biashara zao. Wanataka taka hizo kuondolewa haraka iwezekanavyo, wakisema[Read More…]
Picha; Hisani By Mark Dida. Huku Mgomo Wa Wauguzi Na Matabibu Ukiendelea Kote Nchini, Wauguzi Na Matabibu Katika Hospitali Za Umma Kaunti Ya Marsabit Wametangaza Kuwa Wataendelea Na Kazi. Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Marsabit, Wauguzi Na Matabibu Wanaendelea Kuwahudumia Wagonjwa, Huku Afisa Mkuu Mtendaji Wa Hospitali Ya Marsabit Liban[Read More…]
Picha; By Jillo Dida Jillo By Jillo Dida Jillo Vijana Kutoka Kaunti Za Marsabit Na Isiolo Waliokutana Jijini Nairobi Wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta Kuingilia Kati Na Kutatua Mizozo Ya Mara Kwa Mara Inavyoshuhidiwa Katika Maeneo Ya Kaskazini Mwa Nchi. Katika Taarifa Yao Kwa Kiongozi Wa Taiafa, Vijana Hao Wakiongozwa Na[Read More…]
Picha; Hisani Na Adano Sharawe Jeshi La Nzige Limeonekana Lokesheni Ya Walda Eneo Bunge La Moyale Na Kusababisha Hofu Kwa Wenyeji. Kwa Mujibu Wa Chifu Wa Lokesheni Ya Walda Hassan Jattani Kotote Amesema Nzige Walionekana Eneo Hilo Jumatano Mchana Kabla Kuelekea Nchini Ethiopia Jioni. Jattani Amesema Kundi La Nzige Hao[Read More…]
Picha; Mark Dida. By Mark Dida, Maafisa Wa shirika la Wanyama pori KWS Tawi La Marsabit wamewakamata wawindaji wawili haramu wakiwa na kilo 51.5 za Pembe Za Ndovu katika eneo la Lag Malgis eneo bunge la Laisamis. Wawili hao Wametiwa Mbaroni hii leo baada ya Maafisa Wa KWS kufanya upepelezi[Read More…]