Local Bulletins

regional updates and news

Wazazi Hapa Jimboni Marsabit Watakiwa Kuhakikisha Watoto Wote Wamerejea Shuleni Wakti Shule Zitakapofunguliwa.

By Waihenya Isaac. Mbunge Wa Saku  Ali Dido Amewataka Wazazi Kuhakikisha Kuwa Watoto Wanafuata Maagizo Ya Wiizara Ya Afya Wakiwa Nyumbani Na Hata Kuwaelimisha Namna Ya Kuzingia Masharti Hayo Wakiwa Baada Ya Shuleni. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Hapo Jana Katika Makao Ya Gavana Wa Jimbo Hili Mohamoud[Read More…]

Read More

Gavana Mohamud Ali Atoa Wito Kwa Wakaazi Wa Marsabit Kushiriki Katika Vita Dhidi Ya Korona Mwaka Huu

By Isaac Waihenya. Gavana Wa Kaunti Ya Marsabit Mahamoud Ali Amewataka Wananchi Kuzidi Kuzingatia Masharti Ya Covid Ili Kuzuia Msambao Wa Korona Katika Kaunti Hii. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Katika Makao Yake Hapa Mjini Marsabit,Gavana Ali Amewataka Wananchi Wakaunti Ya Marsabit Kuhakikisha Kuwa Wanafuata Maagizo Ya Wizara[Read More…]

Read More

Wafanyikazi Katika Sekta Ya Uchukuzi Kaunti Ya Marsabit Walalamikia Kudorora Kwa Biashara Baada Ya Sheria Mpya Za Korona.

By Adho Isacko. Wafanyikazi Katika Sekta Ya Uchukuzi  Kaunti Ya Marsabit Wamelalaimikia Kile Walichokitaja Kuwa Kudorora Kwa Biashara Baada Ya Sheria Mpya Za Kuzui Kusambaa Kwa Virusi Vya Korona. Serekali Kupitia Wizara Ya Afya  Iliagiza Magari Yote Ya Usafiri Kupunguza Idadi Ya Abiria Kama Njia Mojawapo Ya Kuzua Msambao Wa[Read More…]

Read More

NCIC Yatupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna.

By Adano Sharawe. Tume Ya Kitaifa Ya Uwiano Na Utangamano NCIC Imetupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna Kuhusiana Na Matamshi Yasiyofaa Waliyotoa Hivi Majuzi Wakati Wa Kampeni Za Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni. Kamishna Wa Tume Hiyo Ya NCIC Danvas Makori[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter