Gavana wa Marsabit Mohamud Ali apongeza rais Ruto kwa kuondoa hitaji la kupigwa msasa wakati wa kusaka kitambulisho….
February 6, 2025
regional updates and news
By Adano Sharawe, Shirika la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Haki Afrika linaitaka Tume ya uiano na utangamano wa kitaifa-NCIC kufunganya virago vyake iwapo haitawajibika katika kudhibiti mihemko ya kisiasa na malumbano makali nchini. Afisa wa maswala ya dharura wa Shirika hilo Mathias Shipetta amesema Tume hiyo imeshindwa kuwakabili[Read More…]
By Waihenya Isaac, Serekali itaendelea kuwandama na kuchukuliwa hatua imesisitiza kuwa viongozi wachochezi humu nchini kwa kueneza siasa chafu. Haya kwa mujibu wa msemaji wa serekali kanali Cyrus Oguna. Akizungumza na wananshi wa habari akiwa mjini kilifi alipozuru kukagua miradi ya serekali, Oguna amesema kuwa serekali haitamsaza yeyote akaye chochea[Read More…]
By Jillo Dida Jillo Kaunti ya Marsabit imeungana na wakenya wengine kusheherekea juhudi zake za kukabiliana na ugonjwa wa saratani huku Ulimwengu ukiadhimisha siku ya kimataifa ya saratani hii leo -kauli mbiu wa mwaka huu ikiwa ni ushirikiano kati ya wagonjwa na wahudumu katika kukabili saratani hapa nchini. Maadhimisho ya[Read More…]
By Samuel Kosgei, Kadhi Mkuu wa Mahakama ya Marsabit Ibrahim Tullu ameonesha masikitiko yako kutokana na ongezeko la visa vya talaka kati ya wanandoa wa jamii zinazoishi jimbo hili. Kadhi Tullu akisema na shajara ya jangwani amekiri kuwa tangu ajiunge na idara ya mahakama ktk kaunti ya Marsabit September[Read More…]
By Adano Sharawe, Serikali itawachukulia hatua kali za kisheria viongozi waliohusika katika kupanga na kufadhili mapigano ya kikabila yaliyoshuhudiwa kaunti ya Marsabit. Waziri wa Usalama wa Kitaifa Dkt Fred Matiangi amesema serikali inaendelea kuwachunguza viongozi ambao wamekuwa wakiwapa silaha wenyeji kuiba mifugo na kutekeleza mauaji jimboni. Akifika mbele ya Kamati[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko anaongoza orodha ya magavana wenye utendakazi duni kwa msingi wa namna walitumia pesa za maendeleo kulingana na taarifa ya bajeti mwaka 2021 iliyotolewa na Hazina ya Taifa. Ripoti hiyo ilifichua kuwa kaunti zenye asilima ndogo ya rekodi ya maendeleo[Read More…]
By Samuel Kosgei, Vyama vinne katika kaunti ya Isiolo kikiongozwa na chama cha ODM, KANU, NARC na PNU wamejitokeza na kudokeza kwamba watafanya kazi kwa umoja ili kuhakikisha ripoti ya BBI inapata uungwaji mkono kutoka kwa wakaazi wa kaunti ya Isiolo. Wakiongea na vyombo vya habari katika afisi za ODM[Read More…]
By Waihenya Isaac, Bunge la Kaunti ya Siaya limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Katiba BBI ambao utanatajiwa fungua njia kwa kura ya maoni nchini. Bunge hilo limekuwa la kwanza kuidhinisha mwaada huo uliowasilishwa kwa mabunge ya kaunti na tume huru ya uchaguzi na mipaka Nchini IEBC baada ya kusanifisha Zaidi[Read More…]
By Waihenya Isaac, Wakazi wa kaunti ya Samburu waamrishwa kuwasilisha bunduki haramu ambazo wanamiliki kama njia moja ya kuimarisha usalama Katika kaunti hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa polisi Katika kaunti ya samburi Samson Ogelo amesema kuwa Bunduki haramu kumi na saba zimetolewa mikononi mwa raia katika kipindi[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Aliyekuwa waziri Marehemu Simeon Nyachae atapumuzishwa katika hafla ya siri mnamo siku ya Jumatatu Feb 15 mwaka huu nyumbani mwake Nyosia kijijini Nyaribari Chache katika kaunti ya Kisii. Haya ni kulingana na Taarifa kutoka kamati na Familia lake ikiongozwa na mwanawe Charles Nyachae. Aidha ibada ya[Read More…]