WAUGUZI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAMEAPA KUENDELEA NA MGOMO WAO HADI PALE SERIKALI YA KAUNTI YA MARSABIT ITAKAPOSHUGHULIKIA MATAKWA YAO YOTE.
September 19, 2024
By Waihenya Isaac.
Mbunge Wa Saku Ali Dido Amewataka Wazazi Kuhakikisha Kuwa Watoto Wanafuata Maagizo Ya Wiizara Ya Afya Wakiwa Nyumbani Na Hata Kuwaelimisha Namna Ya Kuzingia Masharti Hayo Wakiwa Baada Ya Shuleni.
Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Hapo Jana Katika Makao Ya Gavana Wa Jimbo Hili Mohamoud Ali Hapa Mjini Marsabit, Raso Amewataka Wazazi Kaunti Ya Marsabit Kuhakikisha Kuwa Swala La Elimu Linapewa Kipau Mbele.
Aidha Raso Amewataka Wananchi Wa Kaunti Hii Kusita Kuupuza Uwepo Wa Janga La Korona Na Kujiepusha Dhana Mbovu Kuwa Korona Haiadhiri Watu Wa Maeneo Kame.