Local Bulletins

regional updates and news

Watahiniwa Kutoka Shule Za Kibinafsi Zilizofungwa Kwa Ajili Ya Makali Ya Korona, Hawatakosa Kukalia Mitihani Yao Ya KCSE Na KCPE – Magoha.

By Waihenya Isaac. Watahiniwa Kutoka Shule Za Kibinafsi Zilizofungwa Kwa Ajili Ya Makali Ya Korona, Hawatakosa Kukalia Mitihani Yao Ya KCSE Na KCPE Mwaka Ujao. Kwa Mujubu Wa Wa Ziri Wa Elimu Profesa George Magoha Ni Kuwa Wizara Ya Elimu Pamoja Na Washikadau Katik Asekta Hiyo Wataandaa Kikao Ili Kutafuna[Read More…]

Read More

Halmashauri ya kuthibiti sekta ya kawi na mafuta (EPRA) yafunga vituo vinavyouza mafuta yaliyochanganywa na mafuta taa.

By Adano Sharawe Halmashauri ya kuthibiti sekta ya kawi na mafuta (EPRA) imefunga kituo cha Gumi kilicho eneo la Sololo kaunti ya Marsabit kwa kuuza mafuta yaliyochanganywa. Kituo cha Gumi ni kati ya vituo 16 vya mafuta ambavyo Epra imefunga kuuza humu nchini. Kwenye taarifa, halmashauri hiyo ilisema ilifanya ukaguzi kati[Read More…]

Read More

Wazazi Hapa Jimboni Marsabit Watakiwa Kuhakikisha Watoto Wote Wamerejea Shuleni Wakti Shule Zitakapofunguliwa.

By Waihenya Isaac. Mbunge Wa Saku  Ali Dido Amewataka Wazazi Kuhakikisha Kuwa Watoto Wanafuata Maagizo Ya Wiizara Ya Afya Wakiwa Nyumbani Na Hata Kuwaelimisha Namna Ya Kuzingia Masharti Hayo Wakiwa Baada Ya Shuleni. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Hapo Jana Katika Makao Ya Gavana Wa Jimbo Hili Mohamoud[Read More…]

Read More

Gavana Mohamud Ali Atoa Wito Kwa Wakaazi Wa Marsabit Kushiriki Katika Vita Dhidi Ya Korona Mwaka Huu

By Isaac Waihenya. Gavana Wa Kaunti Ya Marsabit Mahamoud Ali Amewataka Wananchi Kuzidi Kuzingatia Masharti Ya Covid Ili Kuzuia Msambao Wa Korona Katika Kaunti Hii. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Katika Makao Yake Hapa Mjini Marsabit,Gavana Ali Amewataka Wananchi Wakaunti Ya Marsabit Kuhakikisha Kuwa Wanafuata Maagizo Ya Wizara[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter