Local Bulletins

regional updates and news

Sunya Orre apuuzilia mbali hatua ya baraza la wazee la kirendile waliompendekeza John Lotoo Segelan kuwania ugavana kwa niaba ya jamii hiyo.

Na Samwel Kosgei, Mwaniaji wa kiti cha ugavana mwaka huu katika kaunti ya Marsabit Sunya Orre amepuuzilia mbali hatua ya baraza la wazee la kirendile waliompendekeza John Lotoo Segelan kuwania ugavana kwa niaba ya jamii hiyo. Akizungumza na radio jangwani kwenye kipindi cha Bunge Letu, Orre amesema kuwa uamuzi wa wazee uliofanyika katika[Read More…]

Read More

Waziri John Munyes ajiuzulu.

Na Isaac Waihenya, Waziri wa madini na Petroli nchini John Munyes amejiuzulu wadhifa huo ili kujitosa katika siasa. Munyes ambaye anawania kuwa Gavana wa Kaunti ya Turkana, ametangaza kujiuzulu hii leo kabla ya makataa ya Jumatano,Februari 9 kwa watumishi wa umma wanaowania viti vya kisiasa kujiuzulu nyadhifa zao. Anakuwa waziri[Read More…]

Read More

Muthama akana madai kuwa vyama chini ya muungano wa Kenya Kwanza vimepanga namna ya kuwagawanya serikali.

Na Samuel Kosgei, Mwenyekiti wa chama cha UDA Johnstone Muthama amekana madai kuwa vyama chini ya muungano wa Kenya Kwanza wamepanga namna ya kuwagawanya serikali iwapo watashinda uchaguzi mkuu mwaka huu. Muthama akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa vyama vya ANC, FORD KENYA na UDA hawajaelewana kwa chochote na badala[Read More…]

Read More

Diamond and Zuchu dating?

By Adeleide, Radio host Juma Lokole has confirmed that indeed his boss is dating artist Zuchu. During an interview with another Tanzanian-based radio station Wednesday, said that the two hit makers have been dating for over a month now. “Mimi nawafahamisha Zuchu na Diamond kweli wana mahusiana. Sasa hivi ni[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter