Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.
November 23, 2024
regional updates and news
Na Emmanuel Amalo, Watoto watatu wamefikishwa katika hospitali ya rufaa ya Marsabit baada ya kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. Akidhibitisha kisa hicho afisa mkuu wa hospitali ya rufaa ya Marsabit Liban Wako amesema kwamba kwa sasa watatu hao wanauguza majeraha ya risasi ila[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Maseneta wamemtaka waziri wa elimu George Magoha pamoja na wakuu wa chama cha shule za upili KESHA kufika mbele yake kutoa maelezo kuhusiana na kukithiri kwa visa vya uteketezaji wa majengo ya shule. Maseneta hao aidha wamelalamikia utovu wa nidhamu ya wanafunzi miongoni mwa wanafunzi vilevile kipindi[Read More…]
Na Waihenya Isaac Shule ya upili ya wasichana ya Moi katika kaunti ya Marsabit imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya bweni moja shuleni humo kuteketea usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa naibu mwalimu mkuu wa shule hiyo Bwana Festus Kiema ni kuwa uamuzi huo umeafikiwa baada ya bodi ya[Read More…]
By Machuki Dennson Equity bank Kenya has been ranked position 39 globally on return on assets, position 71 on return on capital, and position 149 on soundness (Capital Assets to Assets ratio), in the Top 1,000 World Banks 2021 by The Banker magazine. This evaluation is usually derived[Read More…]
By Macuki Dennson The Independent Electoral and Boundaries Commission IEBC has said that it missed its target by 4,578,290 voters. This is after the IEBC only registered 1,421, 710 Kenyans as new voters in the mass voter registration that ended 2nd of November 2021. 359,834 Kenyans transferred their voting centres[Read More…]
By Jangwani Fm Team The Catholic Diocese of Marsabit registwered trustees has emerged the top tax paying entity in the entire Northern region. This was declared by the Kenya Revenue Authority (KRA) on Friday during the National taxpayers’ day where all faithful tax payers were feted. The ceremony was graced[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Mwakilishi wadi wa Korr/Ngurnit Daud Tomasot ametaja kuwa hali ya ukosefu wa maji katika eneo la Korr kuwa janga kuu na kero sana katika hilo iwapo mvua haitanyeshi hivi karibuni. Tomasot anasema kuwa licha ya visima vingi kuchimbwa maji mengi yanatopatikana ni ya chumvi hivyo kuwa[Read More…]
Na Wahenya Isaac, Tume ya uiano na Utengamano nchini NCIC itaendelea kuwaweka wanasiasa wanaoeneza semi za chuki katika orodha ya Aibu marufu kama “List of Shame”. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume hiyo Samuel Kobia ni kuwa idadi kubwa ya wanasiasa hawapendi kuwekwa kwenye orodha hiyo kwani huenda ikatia doa[Read More…]
Picha:Hisani Na Samuel Kosgei, Mwakilishi wadi wa Korr/Ngurnit Daud Tomasot amedai kuwa ahadi ya gavana wa Marsabit kulipia baadhi ya watu maskini bima ya afya kupitia bima ya NHIF huenda isitimie kutokana na deni la Zaidi ya shilingi milioni 36 ambalo serikali ya kaunti inadaiwa na hazina ya kitaifa afya[Read More…]
Rais Joe Biden ameahidi Kenya kwamba Marekani itatoa msaada wa mara moja wa dozi zaidi ya milioni 17 za chanjo ya Johnson & Johnson kwa Umoja wa Afrika. Biden alitangaza hayo wakati wa mkutano na rais Uhuru Kenyatta kwenye afisi yake ya Ikulu mjini Washington DC, ambao pia ulijadili[Read More…]