Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
regional updates and news
Na Isaac Waihenya Waziri wa Usalama nchini Daktari Fred Matiangi amewahakikishia washirika wa maendeleo hapa Nchini kuwa mikakati ya kuhakikisha Amani na usalama wakati wa uchaguzi imewekwa. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri Matiangi amesema kuwa mipango ya kuhakikisha usalama wakati wa kampeni za uchaguzi, siku ya uchaguzi na baada[Read More…]
Na Denson Machuki, Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imesema iko tayari kuwashtaki magavana watatu na madai ya ufisadi pindi tu afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma itakapoidhinisha mashtaka dhidi yao. Afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo Twalib Mbarak amesema kesi dhidi ya gavana wa Kirinyaga Anne[Read More…]
Na Samson Guyo, Baada ya Mamlaka ya kudhibiti kawi nchini EPRA kutangaza kuongezeka kwa bei ya mafuta mapema wiki hii, wakaazi mjini marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na hilo. Wakizungumza na Radio Jangwani baadhi ya wakaazi wakiwemo walio katika sekta ya uchukuzi pamoja na wale wamiliki wa magari na pikipiki[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Kaunti ya Marsabit imeongezewa kauti ndogo 4 zaidi na kuifainya kuwa na jumla ya kaunti ndogo kuwa 13. Kupitia gazeti rasmi la serekali, wizara ya usalama wa ndani imeziongeza kaunti ndogo za Korr makao yake makuu yakiwa ni Korr, Sagante/Jaldesa, Uran na kaunti ndogo ya Golbo ambayo makao[Read More…]
By Machuki Dennson Zachariah Nyaora Obadia the country’s most wanted suspect who has been on the run for sexual assault has been arrested. Obadia, who is alleged to have masterminded the ghastly sexual attack on a woman along Wangari Maathai road, formerly Forest Road was arrested on Monday[Read More…]
By Adelaide, Former Us President Barack Obama tweeted yesterday (13-03-2022) that he had tested positive for covid 19, but the rest of his family were fine. “I just tested positive for COVID. I’ve had a scratchy throat for a couple days, but am feeling fine otherwise,” he said, “Michelle and[Read More…]
By Radio Jangwani Three suspects were yesterday arrested and vandalized equipment worth millions recovered in Juja Kiambu County. In an intelligence-driven operation, detectives from DCI Headquarters raided a scrap metal yard in juja’s Matangi area, where Several vandalized KPLC transformers, rolls of aluminum conductors and assorted materials belonging to[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Mtihani wa darasa la nane (KCPE) umeanza vyema leo kote nchini. Baraza la Kitaifa la Mitihani nchini KNEC lilisajili jumla ya watahiniwa milioni 1.2 katika vituo 28,316 vya mtihani wa KCPE ikilinganishwa na watahiniwa milioni 1.19 katika vituo 28,467 mwaka wa 2020. Mwaka huu, jumla ya wanafunzi[Read More…]
Na Silvio Nangori, Kwa mara nyingine tena waziri wa Elimu Profesa George Magoha amesisitiza kwamba hakutakuwepo na wanasiasa watakaoruhusiwa kuendesha shughuli zozote shuleni wakati huu wa mitihani wa kitaifa. Magoha amewahakikishia walimu na wanafunzi kwamba usalama umeimarishwa katika maeneo ya mitihani ili kuhakikisha kwamba shughuli zote zinazofanyika bila tashwishi yoyote.[Read More…]
Na Isaac Waihenya Shughuli za watahiniwa kufanya mtihani wa darasa la nane KCPE zimesambaratika leo mchana katika eneo la Kapkusum,Muchongoi kaunti ya Baringo baada ya majambazi waliojihami kwa bunduki kuingia katika eneo hilo. Watahiniwa wa KCPE katika shule za msingi za Kapchekir na Karne huko Baringo walitoroka shuleni pamoja na[Read More…]