Local Bulletins

regional updates and news

SEREKALI IMEJITOLEA KUPAMBANA NA VITA DHIDI YA UTUMIZI WA MIHADARATI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT. – ASEMA DCC DAVID SARUNI.

NA ISAAC WAIHENYA Serekali imejitolea kupambana na vita dhidi ya utumizi wa mihadarati katika kaunti ya Marsabit. Kulingana na DCC wa Marsabit Central David Saruni ni kuwa ni swala la mihadarati ni swala linalofaa kuangaziwa kwa undani ili kuhakikisha kwamba linakomeshwe. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya[Read More…]

Read More

Vijana jimboni Marsabit watakiwa kutumia vipaji vyao kukabiliana na swala la ukosefu wa ajira.

  Na Isaac Waihenya, Wito wa vijana kutumia vipaji vyao kukabiliana na swala la ukosefu wa ajira umezidi kutotewa huku vijana wakihimizwa kukubatia ajira kidijitali. Kwa mujibu wa waziri wa elimu katika kaunti ya Marsabit Ambaro Abdulahi ni kuwa kaunti ya Marsabit ina vipaji mbalimbali ambavyo bado havijatambuliwa. Akizungumza wakati[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA HULAHULA MARSABIT WASHABIKIA KISIMA KIPYA CHA KDEF WAKITAJA KUWAPUNGUZIA SAFARI NDEFU YA KUSAKA MAJI.

Wakaazi wa Hulahula Marsabit washabikia kisima kipya cha KDEF wakitaja kuwapunguzia safari ndefu ya kusaka maji. Na JB Nateleng  Ni afueni kwa wakazi wa Hulahula, eneo bunge la Saku baada ya shirika lisilo la Kiserekali la Kenya Dryland Education Fund kuwekeza kwenye mradi wa kuwajengea kisima cha maji karibu na[Read More…]

Read More

ASILIMIA 74.2 YA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT HUNYONYESHA WATOTO CHINI YA SAA MOJA.

Na Grace Gumato Janga la ukame limetajwa kama mojawapo ya changamoto ambayo inachangia kina mama kutonyonyesha watoto wao  katika kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii  afisini mwake David Buke  Halakhe afisa naye simamia lishe katika kaunti ya Marsabit amesema uwepo wa ukame umechangia akina mama wengi kukosa lishe bora[Read More…]

Read More

VIONGOZI WA KIDINI MARSABIT WAZIDI KUKASHIFU ONGEZEKO LA MAPENZI YA JINSIA MOJA NCHINI.

Na Lelo Wako Viongozi wa kidini mjini Marsabit wamekashifu kuenea kwa  uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja na visa vya ukahaba haswa miongoni mwa vijana. Msimamizi wa kanisa la katoliki parokia ya cathedral, Padri Tito Makhoha amekashifu uhusiano aina hiyo huku akiwaomba vijana wasishinikizwe katika kushiriki uhusiano wa jinsia moja.[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter