Author: Isaac Waihenya

Aliyekuwa Mbunge Wa Jimbo La Arusha Mjini,Godbless Lema,Apata Hifadhi Ya Kisiasa Nchini Canada.

Na Samuel Kosgei, Aliyekuwa Mbunge Wa Jimbo La Arusha Mjini, Godbless Lema, Aliyetorokea Kenya Mwezi Uliopita Kutokana Na Madai Ya Maisha Yake Kuwa Hatarini Nchini Tanzania Hatimaye  Amepata Nafasi Ya Hifadhi Ya Kisiasa Nchini Canada. Wakili Wake George Luchiri Wajackoyah Amethibitisha Kuwa Lema Aliondoka Jana Kenya Akiwa Na Familia Yake.[Read More…]

Read More

Wafanyibiashara mjini Marsait, walalamikia hatua ya maafisa wa idara ya kuzoa taka kujikokota kuondoa taka mjini.

By Mark Dida, Wafanyabiashara mjini Marsait, wamelalamikia kile wanachosema ni hatua ya maafisa wa idara ya kuzoa taka katika kaunti ya Marsabit, kujikokota kuondoa taka mjini humu. Wamesema kuwa taka hizo ambazo zimerundikana katikati ya mji, zinatoa uvundo kiasi cha kuyumbisha biashara zao. Wanataka taka hizo kuondolewa haraka iwezekanavyo, wakisema[Read More…]

Read More

Madaktari Waitaka Serikali Kuilipa Gharama Ya  Matibabu Ya Daktari Stephen Mogusu Alieaga Dunia Hiyo Jana  Kwa Ajili Ya Korona. 

By Waihenya Isaac, Mwenyekiti Wa Muungano Wa  Madaktari Nchini  KMPDU Dr. Samuel Oroko Ametaka Serekali Kuchukulia Kwa Maanani Wahudumu Wa Afya Nchini Ili Kuwaepusha Na Hatari Inayowakondolea Macho Ya Maambukizi Ya Korona. Akizungumza Jijini Nairobii Oroko Ametaja Kuwa Ni Jambo La Kughadhabisha Mno Kuona Kuwa Serekali Bado Inaendeleza Ajenda Ya[Read More…]

Read More

Kocha Arsene Wenger Kurejea Uwanjani Emirates.

Kocha Arsene Wenger Akiwa Ugani Emirates. Picha Hisani By Waihenya Isaac. Afisa Mkuu Mtendaji  Wa  Klabu Ya Arsenali Vinai Venkatesham Ameripotiwa Kuwasiliana Na Arsene Wenger Juu Ya Uwezekano Wa Kurudi Uwanjani Emirates. Wenger Aliiongoza Arsenal Kutwaa Mataji Matatu Ya Ligi Kuu Na Vile Vile Kombe La FA Kabla Ya Kuondoka[Read More…]

Read More

Wauguzi Na Matabibu Katika Hospitali Za Umma Kaunti Ya Marsabit Wametangaza Kuwa Wataendelea Na Kazi.

Picha; Hisani By Mark Dida. Huku Mgomo Wa Wauguzi Na Matabibu Ukiendelea Kote Nchini, Wauguzi Na Matabibu Katika Hospitali Za Umma Kaunti Ya Marsabit Wametangaza Kuwa Wataendelea Na Kazi. Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Marsabit, Wauguzi Na Matabibu Wanaendelea Kuwahudumia Wagonjwa, Huku Afisa Mkuu Mtendaji Wa Hospitali Ya Marsabit Liban[Read More…]

Read More

Gor Mahia Kumenya Na  CR Belouizdad Ya Algeria  Katika Awamu  Ya Finali Ya Kufuzu Katika Awamu Ya Makundi Ya Michuano Ya Klabu Bingwa Barani Afrika CAF

Picha; Hisani By Waihenya Isaac Klabu Ya Gor Mahia Itamenya Na Klabu Ya CR Belouizdad Ya Algeria  Katika Awamu  Ya Finali Ya Kufuzu Katika Awamu Ya Makundi Ya Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu Bingwa Barani Afrika CAF Champions League. Gor Itasafiri Hadi Jijini Algiers Kumenyatana Na Vijana Wa Frank[Read More…]

Read More

Rais Kenyatta Atakiwa Kutatua Mizozo Ya Mara Kwa Mara Inavyoshuhidiwa Katika Maeneo Ya Kaskazini Mwa Nchi.

Picha; By Jillo Dida Jillo By Jillo Dida Jillo Vijana Kutoka Kaunti Za Marsabit Na Isiolo  Waliokutana Jijini Nairobi Wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta Kuingilia  Kati  Na Kutatua Mizozo  Ya Mara Kwa Mara Inavyoshuhidiwa Katika  Maeneo Ya Kaskazini Mwa Nchi. Katika Taarifa Yao Kwa Kiongozi Wa Taiafa, Vijana Hao Wakiongozwa Na[Read More…]

Read More

Seneti Kuandaa Kikao Siku Ya Jumatano Ili Kuamua Namna Hoja Ya Kumwondoa Mamlakani Gavana Sonko Itakavyoshughulikiwa.

  Picha; Hisani By Adano Sharawe, Bunge La Seneti Litaandaa Kikao Siku Ya Jumatano Ili Kuamua Namna Ambavyo Hoja Ya Kumwondoa Mamlakani Gavana Wa Nairobi Mike Sonko Itakavyoshughulikiwa. Spika Wa Bunge La Seneti Ken Lusaka Ameitisha Kikao Hicho Maalum, Na Amesema Kuwa Maseneta, Ambao Kwa Sasa Wako Likizoni, Watasikiza Malalamishi[Read More…]

Read More

Shule 6 Za Wanafunzi Wanaoishi Na Ulemavu Kaunti Ya Marsabit Kupewa Msaada Wa Kujikinga Dhidi Ya Maambukizi Ya Covid-19.

Picha; Hisani Na Adho Isacko, Huku Ulimwengu Ukiadhimisha Siku Ya Walemavu Hiyo Jana Sherehe Za Kila Mwaka Katika Kaunti Ya Marsabit Hazikufanyika Mwaka Huu Kwa Sababu Ya Mlipuko Wa Covid-19. Akizungumza Na Radio Jangwani Kwa Njia Ya Simu, Afisa Mkuu Wa Huduma Ya Watu Wenye Ulemavu Katika Kaunti Ya Marsabit[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter