Author: Isaac Waihenya

Waziri Yatani Atangaza Ushuru Ulioshushwa Kudhibiti Janga La Corona Kurejea Kuanzia Januari 1, 2021.

Picha;Hisani Na Adano Sharawe, Waziri Wa Fedha Ukur Yatani Ametangaza Kuwa Ushuru Ulioshushwa Kudhibiti Janga La Corona Utarejea Katika Hali Ya Kawaida Kuanzia Januari 1, 2021. Hata Hivyo, Yattani Amesema Wale Wanaopokea Mshahara Wa Chini Ya Sh24, 000 Wataendelea Kufurahia Ushuru Wa Mapatao Uliopunguzwa Kwa Asilimia 100. Akizungumza Leo Jijini[Read More…]

Read More

Spika Wa Bunge La  Seneti Ken Lusaka  Kupokea Azimio La Bunge La Kaunti Ya Nairobi La Kumbandua Gavana Wa Nairobi Mike Sonko Mamlakani

Picha: Hisani By Waihenya Isaac, Spika Wa Bunge La  Seneti Ken Lusaka  Anatarajiwa Kupokea Azimio La Bunge La Kaunti Ya Nairobi Kupitisha Hoja Ya Kumuondoa Mamlakani Gavana Wa Nairobi Mike Sonko. Hii Ni Baada Ya Hoja Ya Kutokuwa Na Imani Na  Gavana Sonko Kupitishwa Hiyo Jana Ambapo Wakilishi Wadi  88[Read More…]

Read More

Upepo Ulioandamana Na Mvua Wang’oa Paa Ya Darasa Moja Na Ofisi Ya Walimu, Katika Shule Ya Upili Ya Helu Eneobunge La Moyale.

Picha: Hisani Na Samwel Kosgei, Shule Ya Upili Ya Helu Iliyoko Eneobunge La Moyale Kaunti Hii Ya Marsabit Inakadiria Hasara Ya Maelfu Ya Pesa Baada Ya Upepo Iliyoandamana Na Mvua Kung’oa Paa Ya Darasa Moja Na Ofisi Ya Walimu. Akizungumza Na Shajara Ya Jangwani Kwa Njia Ya Simu Mwalimu Wa Shule Hiyo[Read More…]

Read More

Afisa Mkuu Wa Mipango Ya Kiuchumi Kaunti Ya Marsabit Eng. Mohamed Tache Diba Atangaza Kuwa Ameambukizwa Korona

 Eng. Mohamed Tache Diba Picha:Hisani By Waihenya Isaac, Afisa Mkuu Wa Mipango  Ya Kiuchumi  Katika Kaunti Ya Marsabit Eng. Mohamed Tache Diba Ameweka Wazi Kuwa Anaugua  Homa Hatari Ya Korona, Ingawa Hana Dalili Zozote. Eng. Tache Ni Mmoja Kati Ya Watu 16 Kutoka Hapa Jimboni Waliokutwa Na Virusi Vya Korona[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter