Upungufu wa maafisa wa kuhamsisha umaa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi wachangia kudorora kwa kilimo Marsabit…
January 17, 2025
By Samuel Kosgei. Hofu Ilitanda Jumanne Katika Eneo La Hellu Kaunti Ndogo Ya Moyale Baada Ya Kundi La Nzige Wa Jangwani Kuonekana Wakipaa Katika Eneo Hilo. Akizungumza Na Shajara Ya Jangwani Kwa Njia Ya Simu Naibu Mkurugenzi Wa Idara Ya Kilimo Kaunti Ya Marsabit Na Pia Mkufunzi Wa Masuala Ya[Read More…]
By Waihenya Isaac, Mchuano Wa Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Kati Ya Klabu Ya Everton Dhidi Ya Bingwa Wa Mwaka Wa 2018/2019 Manchester City Yaahirishwa. Kupitia Mtandao Wa Twitter, Klabu Ya City Imetaja Kuwa Mechi Hiyo Imeahirishwa Baada Ya Wachezaji Kadhaa Wa Klabu Hiyo Kukutwa Na Virusi Vya[Read More…]
By Waihenya Isaac. Michuanao Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza EPL Inaendelea Hii Leo Huku Michuano Mitatu Ikiratibiwa Kugaragazwa. Crystal Palace Nyumbani Selhurst Park Atakuwa Mwenyeji Wa Leicester City, Katika Mechi Ambayo Palace Anatarajiwa Kuimarisha Matokeo Yake Baada Ya Kulazwa Magoli Matatu Kwa Nunge Na Aston Villa Weekendi[Read More…]
By Adho Isacko. Wafanyikazi Katika Sekta Ya Uchukuzi Kaunti Ya Marsabit Wamelalaimikia Kile Walichokitaja Kuwa Kudorora Kwa Biashara Baada Ya Sheria Mpya Za Kuzui Kusambaa Kwa Virusi Vya Korona. Serekali Kupitia Wizara Ya Afya Iliagiza Magari Yote Ya Usafiri Kupunguza Idadi Ya Abiria Kama Njia Mojawapo Ya Kuzua Msambao Wa[Read More…]
By Adano Sharawe. Tume Ya Kitaifa Ya Uwiano Na Utangamano NCIC Imetupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna Kuhusiana Na Matamshi Yasiyofaa Waliyotoa Hivi Majuzi Wakati Wa Kampeni Za Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni. Kamishna Wa Tume Hiyo Ya NCIC Danvas Makori[Read More…]
By Waihenya Isaac Wanaopania Kuwania Wadhifa Wa Gavana Wa Kaunti Ya Nairobi Wanahadi Leo Jioni Kuwasilisha Nyaraka Zao Kwa Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka IEBC. Kwa Mujibu Wa IEBC, Vyama Vya Kisiasa Vinavyokusudia Kushiriki Katika Uchaguzi Huo Mdogo, Vinafaa Kuwasilisha Majina Ya Wagombea Wao Ifikikiapo Leo Jioni. Aidha IEBC[Read More…]
By Waihenya Isaac & Jillo Dida Mamake Aliyekuwa Kinara Wa ANC Musalia Mudavadi Hannah Atsianzale Mudavadi Ameaga Dunia. Atsianzale Ameaga Dunia Saa Kumi Na Moja Alfajiri Ya Leo Alipokuwa Akipokea Matibabu Katika Hospitali Ya Nairobi Akiwa Na Umri Wa Miaka 92. Ripoti Kuhusiana Na Kifo Chake Zimewekwa Wazi Na Musalia[Read More…]
By Waihenya Isaac, Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu La Ligi Kuu Nchini Uigereza Inatarajiwa Kuendelea Wikendi Hii Huku Mechi Sita Zikirabiwa Kugaragazwa Hapo Kesho. Mapema Saa Tisa Unusu Leicester City Itaikaribisha Manchester United Ugani King Power Stadium. Aidha Saa Kumi Na Mbili Kamili Aston Villa Ugani Vila Park[Read More…]
By Waihenya Isaac. Wakaazi Wa Maeneo Ya Garma Pamoja Na Vijiji Jirani Katika Kaunti Ndogo Ya Samburu Ya Kati Wanakila jambo la Kutabasamu Baada Ya Safari Ndefu Wazikuwa Wakitembea Wakitafuta Maji Kufupishwa. Hii Ni Baada Ya Serekali Ya Kaunti Ya Samburu Kwa Ushirikiano Na Hazina Ya Maji Katika kaunti Hiyo [Read More…]
By Mark Dida. Makundi 15 Ya Wanawake Na Vijana Kutoka Kaunti Ya Marsabit Wamenufaika Na Shilingi Milioni 1.5 Kutoka Kwa Afisi Ya Mwakilishi Wa Wanawake Wa Marsabit Safia Shehk Adan. Akiogoza Hafla Hiyo Kamishna Wa Kaunti Ya Marsabit Paul Rotich Amesema Kwa Makundi Hayo Sasa Yanaweza Kuendeleza Miradi Mbali Mbali[Read More…]