Upungufu wa maafisa wa kuhamsisha umaa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi wachangia kudorora kwa kilimo Marsabit…
January 17, 2025
By Waihenya Isaac. Michuano Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Inatarajiwa Kuendelea Usiku Wa Leo Huku Mechi Mbili Zikiratibiwa Kugaragazwa. Everton Ya Kocha Carol Anceloti Itasaka Nafasi Ya Kuchupa Hadi Nafasi Ya Pili Kwenye Jedwali La EPL, Itakapomenyana Na WestHam United Uwanjani Goodison Park Kuanzia Saa Mbili Unusu.[Read More…]
By Waihenya Isaac. Watahiniwa Kutoka Shule Za Kibinafsi Zilizofungwa Kwa Ajili Ya Makali Ya Korona, Hawatakosa Kukalia Mitihani Yao Ya KCSE Na KCPE Mwaka Ujao. Kwa Mujubu Wa Wa Ziri Wa Elimu Profesa George Magoha Ni Kuwa Wizara Ya Elimu Pamoja Na Washikadau Katik Asekta Hiyo Wataandaa Kikao Ili Kutafuna[Read More…]
By Samuel Kosgei Waziri wa afya Mutahi Kagwe ametangaza kuwa taifa hii leo imepoteza watu 11 kutokana na ugonjwa vya Covid-19 ikiwa ndio siku ya kwanza ya mwaka. Idadi hiyo imefikisha walioaga dunia kuwa watu elfu 1,681. Ameongeza kuwa watu wengine 156 wamekutwa na virusi hivyo baada ya vipimo vya[Read More…]
By Adano Sharawe Halmashauri ya kuthibiti sekta ya kawi na mafuta (EPRA) imefunga kituo cha Gumi kilicho eneo la Sololo kaunti ya Marsabit kwa kuuza mafuta yaliyochanganywa. Kituo cha Gumi ni kati ya vituo 16 vya mafuta ambavyo Epra imefunga kuuza humu nchini. Kwenye taarifa, halmashauri hiyo ilisema ilifanya ukaguzi kati[Read More…]
By Waihenya Isaac. Mbunge Wa Saku Ali Dido Amewataka Wazazi Kuhakikisha Kuwa Watoto Wanafuata Maagizo Ya Wiizara Ya Afya Wakiwa Nyumbani Na Hata Kuwaelimisha Namna Ya Kuzingia Masharti Hayo Wakiwa Baada Ya Shuleni. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Hapo Jana Katika Makao Ya Gavana Wa Jimbo Hili Mohamoud[Read More…]
By Isaac Waihenya. Askofu Wa Jimbo Katoliki La Marsabit Askofu Peter Kihara Amewataka Wananchi Wakaunti Hii Kudumisha Amani Ili Kuimarisha Maendeleo Katika Kaunti Hii. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Katika Makao Ya Ga vana Wa Jimbo Hili Mohamoud Ali Hapa Mjini Marsabit, Askofu Kihara Amewataka Wananchi Wa Kaunti[Read More…]
By Isaac Waihenya. Gavana Wa Kaunti Ya Marsabit Mahamoud Ali Amewataka Wananchi Kuzidi Kuzingatia Masharti Ya Covid Ili Kuzuia Msambao Wa Korona Katika Kaunti Hii. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Katika Makao Yake Hapa Mjini Marsabit,Gavana Ali Amewataka Wananchi Wakaunti Ya Marsabit Kuhakikisha Kuwa Wanafuata Maagizo Ya Wizara[Read More…]
By Machuki Denson Wakenya Wengi Wana Matumaini Kwamba Mwaka Wa 2021 Utakuwa Wa Mafanikio Kuliko Wa 2020 Kulingana Na Utafiti Wa Kura Ya Maoni. Utafiti Huo Uliofanywa Na Kampuni Ya Infotrak, Ambao Mtokeo Yake Yalitolewa Leo Unaonyesha Kwamba Asilimia 61 Ya Wakenya Wana Matumaini Makubwa Kwamba 2021 Utakuwa Mwaka Mzuri [Read More…]
Episode1 By Wambaz Ole Man. Naisula was the prettiest girl in my class while in Laisamis Primary school…. she was loved by everyone including teachers and students alike. Everyone wanted to be her friend. I used to pray for the day she would borrow sharpener from me so that I[Read More…]
By Samuel Kosgei, Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka IEBC Hii Leo Inazindua Rasmi Zoezi Zima La Kusanifisha Sahihi Za Mpango Wa BBI Ambazo Ziliwasilishwa Kwao Na Kundi Linalounga Mkono Mchakato Huo. Uzinduzi Wa Zoezi Hilo Linafanyika Katika Ukumbi Wa Bomas Of Kenya Jijini Nairobi Ukiongozwa Na Mwenyekiti Wa Tume[Read More…]