NDOTTO WARRIORS WATWA UBINGWAWA TAJI LA AHMED KURA TOURNAMENT MWAKA 2024…
December 18, 2024
By Mark Dida Na Adho Isacko Kaunti Ya Narok Inaongoza Kwa Asilimia 44 Ya Wanafunzi Walio Walio pata Ujauzito Ikifuatwa Na Kilifi Kwa Asilimia 42. Haya Ni Kwa Mujibu Wa Mwenyekiti Wa Chama Cha Wazazi Nchini Kenya Nicholas Maiyo Ambaye Amesema Kuwa Wote Waliotunga Wanafunzi Mimba Watakamatwa Na Kuadhibiwa. Vile[Read More…]
By Waihenya Isaac. Wizara Ya Elimu Haitawalazimisha Walimu Walio Na Umri Wa Miaka 58 Na Zaidi Kusalia Nyumbani Iwapo Wanahitaji Kurejea Shuleni Kuendeleza Majukumu Yao Ya Kufunza. Kwa Mujibu Wa Katibu Mkuu Mtendaji Wa Tume Ya Huduma Za Walimu Nchini TSC Bi Nancy Macharia Ni Kuwa Walimu Walio Na Umri[Read More…]
By Waihenya Isaac. Klabu Ya Gor Mahia Imebanduliwa Nje Ya Ya Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu Bingwa Barani Afrika CAF Champions League Na Klabu Ya CR Belouizdad Ya Algeria Kwa Jumla Ya Magoli Manane Kwa Moja. Hii Ni Baada Ya Gor Mahia Kulazwa Jumla Ya Mogoli Mawili Kwa Nunge[Read More…]
By Adho Isacko Kufuatia kuongezeka kwa viwango vya maji katika eneo la Loiyangalani kaunti ya Marsabit mwaka jana shule kadhaa zimeadhirika huku barabara zikikatika na vyoo pamoja na madarasa kuzama. Katika shule ya msingi ya Elmollo iliyo eneo la Loiyangalani wanafunzi sasa wanataabika hata kufika shuleni kwani barabara waliyokuwa wakitumia[Read More…]
Picha; Hisani By Mark Dida. Kamishna Wa Kaunti Ya Marsabit Paul Rotich Amesema Zaidi Ya Asilimia 54 Ya Wanafunzi Katika Shule Mbalimbali Katika Kaunti Ya Marsabit Wamerudi Shuleni. Rotich Ameelezea Kuridhishwa Na Utayari Wa Shughuli Hiyo Kwenye Shule Za Kaunti Hii Na Aslimia Ya Watoto Waliorejea Shuleni Tangu Siku Ya[Read More…]
By Adano Sharawe, Samwel Kosgei & Adho Isacko Baadhi Ya Walimu Wa Shule Za Umma Kaunti Ya Marsabit Wameeleza Kusikitishwa Kwao Na Hali Ya Shule Wanaozoongoza Ikizingatiwa Kuwa Wanahitajika Kuzingatia Masharati Ya Wizaraya Afya Ilhali Hawajapokezwa Pesa Za Shughuli Hiyo Na Serikali Kama Walivyoahidiwa. Baadhi Ya Changamoto Wanazotaja Kuzipitia Ni[Read More…]
By Adano Sharawe Seneta Wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen Sasa Anasema Atapinga Mipango Yoyote Ya Kumuondoa Seneta Irungu Kang’ata Kutoka Kwa Nafasi Yake Ya Kiranja Wa Bunge La Seneti Murkomen Amesema Ikiwa Uongozi Wa Chama Cha Jubilee Utaitisha Kikao Cha Kumuondoa Kang’ata, Watahudhuria Na Kupinga Hatua Hiyo. Amesema Badala Yake[Read More…]
By Jilo Dida. Kasisi Mmoja Katika Eneo La Ndia Kaunti Ya Kirinyaga Anakabiliwa Na Mashataka Ya Kuwanajisi Na Kuwapa Ujauzito Wanawe Wawili Wenye Umri Wa Miaka 14 And 16 Mtawalia. Mshukiwa Huyo Kwa Jina Guchina Mwenye Umri Wa Miaka 51 Atasalia Rumande Hadi Siku Ya Alhamisi Januari 7 Baada Ya[Read More…]
By Adano Sharawe Serikali Kupitia Wizara Ya Elimu Imewaonya Vikali Walimu Wakuu Wanaowarudisha Nyumbani Wanafunzi Kwa Kukosa Kulipa Ada Ya Maendeleo Ya Shule. Akizungumza Alipozuru Shule Mbali Mbali Katika Kaunti Ya Nyeri Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Ameonya Kuwa Mwalimu Yeyote Atakayemrudisha Mwanafunzi Nyumbani Kwa Kutolipa Ada Hio Ya[Read More…]
By Waihenya Isaac. Kocha Wa Klabu Ya Tottenham Hotspurs Jose Mourinho Ametaja Kuwa Yupo Tayari Kulinyakua Taji La EFL Maarufu Kama Carabao Cup Msimu Huu. Mourinho Ameyataja Hayo Wakti Kikosi Chake Kinatarajiwa Kumenyana Na Brentford Hii Leo Usiku Katika Mechi Ya Nusu Faini Ya Kombe La Carabao. Mechi Hiyo Itangaragaziwa[Read More…]