JAMII YA MARSABIT YATAKIWA KUJITOKEZA KUPIMWA UGONJWA WA MENINGITIS ILI KUPATA MATIBABU MAPEMA.
November 15, 2024
By Machuki Denson, Shughuli ya kuwatahirisha vijana katika jamii ya Rendile imeendelea asubuhi leo. Vijana Zaidi ya mia nne wamekutana na kisu cha ngariba asubuhi ya leo kule Karare baada ya kutekeleza matakwa yote ya mila na tamaduni hiyo jana. Aidha mamia ya vijana wameendelea na shugli hiyo katika[Read More…]
Picha;Hisani By Jillo Dida. Tume ya maadili na ufisadi nchini EACC imewahoji wawakilishi wadi 13 kutoka bunge la kaunti ya Baringo kufuatia kizaza kilichoshuhudiwa katika bunge hilo wiki iliyopita wakati wa mjadala wa mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI. Alhamisi iliyopoita bunge la kaunti ya Baringo ilikuwa bunge la kwanza[Read More…]
By Samuel Kosgei, Kamishna wa kaunti ya Isiolo Herman Shambi amesema kuwa serikali haitalegeza Kamba kwenye jitihada zake za kumaliza biashara na matumizi ya dawa za kulevya katika kaunti hiyo. Akiongea Mjini Isiolo kamishna Shambi pia ameonekana kutamaushwa na idadi kubwa ya vijana ambao wamejitoza kwenye anasa na starehe za[Read More…]
By Samuel Kosgei, Askofu wa Jimbo Katoliki La Marsabit Peter Kihara amesema kuwa kipindi hiki wakatoliki wote dunia wanapoanza kipindi cha kwaresma ni wakti mwafaka wa kufanya toba na kuzungumza na Mungu. Akihubiri katika kanisa Kuu la Parokia ya Maria Consolata mjini Marsabit, Kihara amewataka wakristo kutumia wakti huu[Read More…]
By Adano Sharawe Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amepinga juhudi za wabunge kuharamisha siasa za “walala hai na walala hoi” zinazoendelezwa na naibu rais William Ruto. Katika taarifa, Odinga amewasihi wabunge wamwache Ruto na wendani wake kuendelea na siasa zao pasipo kuwazuia akihoji kuwa kuwazuia itakuwa ni kuhujumu[Read More…]
By Adano Sharawe, Kizaazaa kilizuka kaunti ya Meru wakati ambapo waakilishi walikuwa wakihamasisha wenyeji kuhusiana na mswada wa BBI. Mkutano wa umma ulioandaliwa katika ukumbi wa Kamunde mjini Meru ulitibuka baada ya waakilishi wadi kushindwa kuwashawishi wenyeji kuunga mkono marekebisho ya katiba. Kiongozi wa wengi kaunti ya Meru Victor Kareithi[Read More…]
Picha :Hisani By Mark Dida, Baadhi ya walimu wakuu wa shule ya misingi eneo hili wametoa hisia mbali mbali baada Katibu katika Wizara ya Elimu Belio Kipsang kutoa tarifa kuwa watahiniwa wa KCPE wanatakiwa kujiunga na shule ya kutwa zilizoko katika kaunti zao. Kuligana na mwalimu wa shule ya msingi[Read More…]
By Waihenya Isaac JSC imewaorodhesha watu 10 watakaohojiwa ili kujaza pengo la jaji mkuu aliyestaafu David Maraga. Kwenye taarifa iliyotumwa kwenye vyombo vya habari,tume hiyo pia imewaorodhesha watu wengine 9 watakaohojiwa kwa nafasi ya jaji wa mahakama ya upeo. Walioorodheshwa kwa nafasi hiyoni pamoja na Jaji Said Chitembwe, Prof[Read More…]
By Mark Dida, Kaunti ya Meru imeaanda kikao cha kuhusisha umma katika kujadili mswaada wa BBI huku kamati mbili zikiweza kujukumiwa kuhamasisha umaa kuhusiana na ripoti hiyo. kamati hizo ambazo ni ile ya sheria na ile ua utangamano na uhusiano mwema katika kaunti ya Meru ziliandaa zoezi hilo ili kufikia[Read More…]
By Waihenya Isaac Zoezi la kuwasajili makurutu watakaojiunga na kikosi cha jeshi KDF limekalika rasmi Katika kaunti ya Turkana huku idadi ya wanawake na wanaume waliohitimu kujiunga na kitengo cha wanahewa ikiwa ndogo sana. Kwa mujibu wa afisa aliyesimamia oparesheni hiyo Kanali Kitonyi ni kuwa zoezi hilo lilikumbwa na chagamoto[Read More…]