Idara ya Watoto Marsabit yawarai wazazi kuwarejesha wanao shuleni,muhula wa kwanza wa 2025….
January 8, 2025
Na Silvio Nangori, Kaunti ya Marsabit yaweza kushamiri amani endapo viongozi wa kisiasa wataongea kwa sauti moja. Hayo ni kwa mujibu wa mwenyekiti wa Interfaith jimbo la Isiolo Ahmed Sett. Ahmed Sett ambaye pia ni mweka hazina la baraza kuu la wazee nchini ametoa wito huo kwa viongozi wa kisiasa[Read More…]
Na Samwel Kosgei, Mtu mmoja ameuawa kufuatia shambulizi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab katika eneo la Bobo-Hindi kaunti ya Lamu. Kulingana na ripoti za polisi, watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo walimteketeza John Moji hadi kutotambulika na baadaye kubomoa nyumba yake usiku wa kuamkia leo. Akithibitisha kisa hicho,[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Shughuli za masomo zinarejelewa kote nchini kwa muhula wa tatu wa mwaka 2021. Kulingana na Kalenda ya masomo ni kwamba shule zote zitafunguliwa wiki hii, wiki moja tu baada ya kufungwa kwa likizo za Krisimasi na mwaka mpya. Ikumbukwa kwamba Waziri wa Elimu Profesa George Magoha, alikataa[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Polisi katika kaunti ya Samburu wameanzisha msako dhidi ya majambazi waliovamia kituo cha polisi cha Lerata karibu na kituo cha kibiashara cha Archers na kumuua afisa wa polisi mnamo siku ya jumapili. Afisa huyo konstebo Moses Mwambia alipigwa risasi alipokuwa akichota maji. Inaarifiwa kuwa genge hilo lilienda[Read More…]
Na Silvio Nangori Idara ya polisi imewataka wakenya kukoma kuenbdeza uvumi usio na msingi kuhusiana na madai ya utekajinya kwa mwanablogi na mshirika wa karibu wa naibu rais William Ruto Dennis Itumbi. Itumbi ambaye amepatikana jana usiku akiwa hai anadaiwa kutekwa nyara jana Alhamisi alipokuwa akitoka kwenye kinyozi. Katika taarifa[Read More…]
Na Silvio Nangori Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi ameitisha kikao maalumu bungeni December tarehe 29, 2021 kuhusiana na mswada wa vyama vya kisiasa. Katika notisi ya hapo jana Muturi amewataka wabunge wote kuhudhuria vikao vyote vya bunge kama ilivyotajwa na Kiongozi wa wengi Bungeni Dr. Amos Kimunya. Kikao[Read More…]
Na Silvio Nangori Waziri wa Maji, unyunyuziaji na usafi Sicily Kariuki amesema kwamba anawajibikia rais Uhuru Kenyataa Pekee ila si yeyote yule serikalini. Kulingana na waziri huyo, ijapo ofisi yake yafaa kushirikiana kwa kiasi fulani na ile ya naibu wa rais basi maamuzi na maagizo yote yanatoka kwa rais mwenyewe.[Read More…]
Na Silvio Nangori Aliyekuwa kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale ameonywa dhidi ya kuzungumza kwa niaba ya wafugaji humu nchini. Akizungumza na wanahabari Mbunge wa Samburu Kaskazini Alois Lentoimaga na ambaye ni wenyekiti ya jamii ya wafugaji amesema kwamba Duale amekosea heshima jamii za wafugaji kwa kuwajumlisha katika mazungumzo yake.[Read More…]
Na Irene Wamunda Watu wanne wameaga dunia kufuatia ajali mbaya ya barabarani ambayo imetokea katika eneo la Kerita Kaunti ya Uasin Gishu kwenye barabara kuu ya Eldoret kuelekea Nakuru. Wanne hao wamefariki papo hapo baada ya gari lao walilokuwa wakiendesha kugongana ana kwa ana na gari jingine asubuhi ya Ijumaa,[Read More…]
Na Samuel Kosgei, SHIRIKA la haki za kibinadamu la Human Rights Watch imeedelea kushutumu hatua ya serikali ya Kenya kulazimishia wakenya kupokezwa chanjo ili kupokea huduma za kiserikali. Masharti hayo ya kuzuia wakenya kupokea huduma za kiserikali yataanza kutekelezwa tarehe 21 Desemba 2021. Kufikia mwishoni mwa mwezi Disemba takriban asilimia 10 ya[Read More…]