Featured Stories / News

Mtu mmoja ameuawa kufuatia shambulizi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab katika eneo la Bobo-Hindi kaunti ya Lamu.

  Na Samwel Kosgei, Mtu mmoja ameuawa kufuatia shambulizi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab katika eneo la Bobo-Hindi kaunti ya Lamu. Kulingana na ripoti za polisi, watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo walimteketeza John Moji hadi kutotambulika na baadaye kubomoa nyumba yake usiku wa kuamkia leo. Akithibitisha kisa hicho,[Read More…]

Polisi wameanzisha msako dhidi ya majambazi waliovamia kituo cha polisi cha Lerata kaunti ya Samburu na kumuua afisa wa polisi.

Na Waihenya Isaac, Polisi katika kaunti ya Samburu wameanzisha msako dhidi ya majambazi waliovamia kituo cha polisi cha Lerata karibu na kituo cha kibiashara cha Archers na kumuua afisa wa polisi mnamo siku ya jumapili. Afisa huyo konstebo Moses Mwambia alipigwa risasi alipokuwa akichota maji. Inaarifiwa kuwa genge hilo lilienda[Read More…]

Polisi wachunguza kisa cha utekajinyara kwa Dennis Itumbi

Na Silvio Nangori Idara ya polisi imewataka wakenya kukoma kuenbdeza uvumi usio na msingi kuhusiana na madai ya utekajinya kwa mwanablogi na mshirika wa karibu wa naibu rais William Ruto Dennis Itumbi. Itumbi ambaye amepatikana jana usiku akiwa hai anadaiwa kutekwa nyara jana Alhamisi alipokuwa akitoka kwenye kinyozi. Katika taarifa[Read More…]

Aden Duale si msemaji wa wafugaji asema Mbunge Alois Lentoimaga wa Samburu Kaskazini

Na Silvio Nangori Aliyekuwa kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale ameonywa dhidi ya kuzungumza kwa niaba ya wafugaji humu nchini. Akizungumza na wanahabari Mbunge wa Samburu Kaskazini Alois Lentoimaga na ambaye ni wenyekiti ya jamii ya wafugaji amesema kwamba Duale amekosea heshima jamii za wafugaji kwa kuwajumlisha katika mazungumzo yake.[Read More…]

Shirika la Human Rights Watch lasema Mahitaji ya Chanjo Yanakiuka Haki za Kenya.

Na Samuel Kosgei, SHIRIKA la haki za kibinadamu la Human Rights Watch imeedelea kushutumu hatua ya serikali ya Kenya kulazimishia wakenya kupokezwa chanjo ili kupokea huduma za kiserikali. Masharti hayo ya kuzuia wakenya kupokea huduma za kiserikali yataanza kutekelezwa tarehe 21 Desemba 2021. Kufikia mwishoni mwa mwezi Disemba takriban asilimia 10 ya[Read More…]

Subscribe to eNewsletter