Featured Stories / News

SERIKALI ITAANZA KUFANYA VIKAO VYA KUSHIRIKISHA UMMA KUHUSU UMUHIMU WA VITAMBULISHO VYA KIDIJTALI, MAISHA CARD.

NA CAROLINE WAFORO Serikali itaanza kufanya vikao vya ushirikishwaji wa umma kuhusu umuhimu wa vitambulisho vya kidijtali, maisha card. Vikao hivyo vitakavyoanza mwezi huu wa Septemba vitaongozwa na machifu huku wakaazi jimboni Marsabit wakitakiwa kuhudhuria. Haya yamewekwa wazi na naibu kamishna wa Marsabit ya kati Kefa Marube wakati wa kikao[Read More…]

UTEPETEVU WA WAZAZI WATAJWA KAMA MOJAWEPO YA MASWALA YANAYOPEKEA ONGEZEKO LA MAAMBUKIZI MAPYA YA VIRUSI VYA UKIMWI JIMBONI MARSABIT.

Na JB Nateleng, Utepetevu wa wazazi katika kuwalea wanao umetajwa kama sababu inayochangia katika kuongezeka kwa maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee Imam wa miskiti ya Jamia jimboni Marsabit Sheikh Mohamed Noor amesema kuwa, wazazi wengi wamelegeza majukumu yao ya kuwalea wanawao[Read More…]

WASHIKADAU KATIKA SEKTA YA ELIMU WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KUTAFUTA SULUHU LA KUDUMU KUHUSU VISA VYA MOTO SHULENI.

Na JB Nateleng, Washikadau wa elimu wanafaa kuketi chini na wazazi pamoja na wakuu wa shule zote ili kuhakikisha kuwa wametoa suluhu la kudumu kuhusiana na kero la shule kuchomwa. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani ofisini mwake, mkurugenzi wa shirika la MWADO,Nuria Gollo ni kuwa wanafunzi wanachoma shule kusubuka[Read More…]

MAAFISA WA POLISI MJINI MARSABIT WAENDELEZA MSAKO WA POMBE HARAMU.

Na Caroline Waforo, Maafisa wa polisi pamoja kwa ushirikiano na machifu wanaendeleza msako wa pombe haramu pamoja na mihadarati mjini Marsabit. Operesheni hiyo iliyongo’a nanga alhamisi wiki jana inapania kuhakikisha kuwa utumizi wa pombe haramu pamoja na mihadarati unakomeshwa kikamilifu kulingana na kamanda wa polisi Leonard Kimaiyo. Aidha wamiliki wa vilabu[Read More…]

WALIMU WAKUU JIMBONI MARSABIT WATAKIWA KUWA MAKINI ILI KUZIA VISA VYA MIKASA YA MOTO.

Na Caroline Waforo,  Walimu wakuu humu jimboni Marsabit wametakiwa kuwa makini ili kuzia visa vya mikasa ya moto. Ni tahadhari ambayo imetolewa na kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau ambaye amezungumza na meza ya Radio Jangwani afisini mwake. Kamishna Kamau anasema kuwa iwapo walimu wakuu watahakikisha kuwa wanakabiliana na[Read More…]

AFISA MOJA WA AKIBA NPR AKAMATWA NA BUNDUKI TATU HARAMU KATIKA WADI YA LOIYANGALANI,KAUNTI YA MARSABIT.

Na Caroline Waforo, Afisa moja wa akiba NPR katika wadi ya Loiyangalani eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit amekamatwa kwa kumiliki bunduki tatu kinyume cha sheria. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo amesema kuwa afisa huyo wa akiba kutoka kaunti ya Samburu alikamatwa katika[Read More…]

WANAFUNZI WA NYAJANI MAARUFU INTERNS WANALIOFANYA KAZI KATIKA IDARA MBALIMBALI ZA SERIKALI YA KAUNTI YA MARSABIT KATI YA MWEZI SEPTEMBA MWAKA JANA 2023 HADI AGOSTI MWAKA HUU WALALAMIKIA KUTOLIPWA MISHAHARA YAO.

Na Isaac Waihenya, Wanafunzi wa nyajani maarufu Interns wanaliofanya kazi katika idara mbalimbali za serikali ya kaunti ya Marsabit kati ya mwezi Septemba mwaka jana 2023 hadi Agosti mwaka huu wamelalamikia kutolipwa mishahara yao. Wakiongozwa na Ismail Hirsi wafanyikazi hao wametaja kwamba walilipwa mishahara ya miezi minee pekee licha kufanya[Read More…]

MASHINDANO YA RIADHA YA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU HASWA WANAOTUMIA MAGARI YA MAGURUDUMU MAARUFU WHEEL CHAIRS KUANDALIWA HAPA JIMBONI MARSABIT.

Na Isaac Waihenya, Serekali ya kaunti ya Marsabit kupitia idara ya huduma za jamii inapania kuandaa mashindano ya riadha ya watu wanaoishi na ulemavu haswa wanaotumia magari ya magurudumu maarufu Wheel Chairs. Kwa mujibu wa mkurugenzi katika idara ya huduma za jamii kaunti ya Marsbit Galgallo Okotu ni kuwa zoezi[Read More…]

Subscribe to eNewsletter