Featured Stories / News

WAKAAZI WA MARSABIT WANAHIMIZWA KUSHIRIKI KATIKA UHIFADHI WA MAZINGIRA

NA CAROLINE WAFORO Huku ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mazingira Taifa (NEMA) Naftaly Osoro amebainisha umuhimu wa wakaazi wa Kaunti ya Marsabit kushiriki kikamilifu katika shughuli za utunzaji wa mazingira. Kwa mujibu wa Osoro, ushiriki wa wakaazi katika utunzaji wa mazingira utasaidia sana katika kukomesha[Read More…]

MAZINGIRA YA USALAMA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT

  BY CAROL WAFORO AND EBINET APIYO Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Marsabit, David Saruni, amewataka watumiaji wa mitandao ya kijamii kuepuka uchochezi wa umma. Amesema kuwa idara ya ujasusi DCI inahakiki baadhi ya kurasa za mitandao yanayohusishwa na madai ya uchochezi. Pamoja na hayo, Saruni amewaelekeza vituo vya redio[Read More…]

KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MAJI SAFI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT

  BY CAROL WAFORO Elebor, Kaunti ya Marsabit Baada ya malalamiko ya wakaazi wa eneo la Elebor kuhusu ukosefu wa maji safi, mamlaka ya maji jimboni Marsabit imeahidi kukarabati kisima hicho ifikapo mwishoni mwa juma hili. Fakasa Boru Fakasa, Msimamizi wa Timu ya Kurekebisha Visima vya Maji, amebainisha kuwa awali[Read More…]

Subscribe to eNewsletter