October 30, 2024
IDARA YA MIFUGO JIMBONI MARSABIT IMETHIBITISHA KUZUKA KWA UGONJWA WA MIFUGO WA PESTE DES PETITS RUMINANTS PPR KATIKA ENEO BUNGE LA NORTH HORR, MARSABIT.
NA CAROLINE WAFORO Kulingana na afisa wa kufuatilia magonjwa ya mifugo jimboni Marsabit Dkt Bernard Chege ambaye amezungumza na shajara ni kuwa PPR ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoathiri haswa mbuzi na kondoo na umethibitishwa katika eneo pana la Chalbi ikiwemo Elbeso, Kalacha, Maikona, kati ya mengine. Dr Chege anasema[Read More…]