Featured Stories / News

MSWAADA KUHUSIANA NA KUZIKWA KWA TAKA ZA NYUKLIA KATIKA ENEO LA KARGI KUWASILISHWA BUNGENI.

Na JB Nateleng, Mkurugenzi wa programu katika shirika lisilo la kiserikali la Pastrol People Initiative Steve Baselle amesema kuwa shirika hilo litaandaa mswada wa kupeleka bungeni ili kuweza kuhoji serekali kuhusu upatikanaji wa taka za nyuklia katika wadi ya Kargi eneo bunge la Laisamis Kaunti ya Marsabit. Baselle ameelezea kuwa[Read More…]

WAKAAZI WA KARGI WATAKA SERIKALI KUFIDIA FAMILIA ZA WATU WALIOKUFA AU KUPATA UGONJWA WA SARATANI KUFUATIA MABAKI YA NYUKLIA KUTUPWA HUKO.

NA JOHN BOSCO NATELENG Wakazi wa Kargi Eneo bunge la  Laisamis, Kaunti ya Marsabit wametaka serekali kuchunguza kisa na ambacho watu zaidi ya 500 katika eneo hilo wanaripotiwa kuugua ugonjwa wa saratani. Wakizungumza na wanahabari, wakati wa kuanzishwa kwa mswada wa kuhoji serikali juu ya ongezeko la visa vya saratani[Read More…]

SHIRIKA NRT LATOA TENKI 120 KWA MAKUNDI YA KUHIFADHI MAENEO YA WANYAMA ILI KUDHIBITI UKOSEFU MAJI WAKATI WA KIANGAZI

. Na Samuel Kosgei Mkurugenzi shirika la hifadhi ya wanyama NRT ukanda huu kaskazini ya juu Dida Fayo amesema kuwa shirika hilo linazidi kujitolea kukabili changamoto ya mabadiliko ya tabia-nchi katika kaunti ya Marsabit haswa katika maeneo ambayo kuna hifadhi za shirika hilo. Fayo akizungumza katika hafla ya kuwapa tenki[Read More…]

SHIRIKA LA LAKE TURKANA WIND POWER (LTWP) LAZINDUA KISIMA CHA MAJI KWA WAKAAZI DAKAYE-MOITE, LOIYANGALANI.

Na Ambassador Kontoma Wakaazi wa Dakaye-Moite katika wadi ya Loiyangalani wanasababu ya kutabasamu baada shirika la Lake Turkana Wind Power(LTWP) kuwachimbia kisima cha maji. Kisima hicho kitawafaidi wakaazi takriban nyumba elfu tatu katika wadi ya Loiyangalani kwa maji Safi ya kunywa. Katibu kutoka Idara ya Maji Rob Galma aliongoza hafla[Read More…]

WAKAAZI WA MARSABIT WATAKIWA KUPEA KIPAUMBELE SUALA LA ELIMU WAKATI WA KUTOA MAONI KWENYE PUBLIC PARTICIPATION.

Na Samuel Kosgei Wakaazi wa Marsabit wametakiwa kupea kipaumbele masuala ya elimu wakati zoezi la kutoa maoni kwenye mchakato wa kushirikisha umma yaani public participation katika wadi zao. Afisa kwenye wizara ya elimu jimboni Marsabit Boru Godana Guyo akizungumza wakati idara yake ilipopokea viti na meza itakayotumiwa na watoto wa[Read More…]

Subscribe to eNewsletter