Featured Stories / News

WANAFUNZI WA NYAJANI MAARUFU INTERNS WANALIOFANYA KAZI KATIKA IDARA MBALIMBALI ZA SERIKALI YA KAUNTI YA MARSABIT KATI YA MWEZI SEPTEMBA MWAKA JANA 2023 HADI AGOSTI MWAKA HUU WALALAMIKIA KUTOLIPWA MISHAHARA YAO.

Na Isaac Waihenya, Wanafunzi wa nyajani maarufu Interns wanaliofanya kazi katika idara mbalimbali za serikali ya kaunti ya Marsabit kati ya mwezi Septemba mwaka jana 2023 hadi Agosti mwaka huu wamelalamikia kutolipwa mishahara yao. Wakiongozwa na Ismail Hirsi wafanyikazi hao wametaja kwamba walilipwa mishahara ya miezi minee pekee licha kufanya[Read More…]

MASHINDANO YA RIADHA YA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU HASWA WANAOTUMIA MAGARI YA MAGURUDUMU MAARUFU WHEEL CHAIRS KUANDALIWA HAPA JIMBONI MARSABIT.

Na Isaac Waihenya, Serekali ya kaunti ya Marsabit kupitia idara ya huduma za jamii inapania kuandaa mashindano ya riadha ya watu wanaoishi na ulemavu haswa wanaotumia magari ya magurudumu maarufu Wheel Chairs. Kwa mujibu wa mkurugenzi katika idara ya huduma za jamii kaunti ya Marsbit Galgallo Okotu ni kuwa zoezi[Read More…]

MTOTO WA MIAKA 7 AFARIKI SONGA BAADA YA KUUMWA NA NYOKA.

Na Grace Gumato Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka saba amefariki hii leo katika eneo la Songa baada ya kuumwa na nyoka hapo jana. Afisa mtendaji katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Kusu Abduba amesema kuwa mtoto huyo alifikishwa katika hospitali hiyo akiwa amefariki saa za usiku. Aidha amesema kuwa[Read More…]

WAZAZI JIMBONI MARSABIT WATAKIWA KUWAREJESHA WANAO WA SHULE ZA PILI ZA UMAA SHULENI BAADA YA KUPPET KUSITISHA MGOMO.

Na JB Nateleng,  Kufuatia makubaliano ya kurejea kazini kati ya chama cha walimu wa shule za upili na vyuo va kadri nchini (KUPPET) na tume ya kuwajiri walimu (TSC), walimu sasa wanatarajiwa kurejea shuleni kuendeleza kalenda ya masomo. Akizungumza na wanahabari mjini Marsabit,katibu mtendaji wa KUPPET tawi la Marsabit Sarr[Read More…]

SEREKALI YA KAUNTI YA MARSABIT IMETAKIWA KUHAKIKISHA KUWA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU WAMEWAKILISHWA KIUKAMILIFU.

Na JB Nateleng, Serekali ya kaunti ya Marsabit ni sharti ihakikishe ya kwamba watu wanaoishi na ulemavu wamewakilishwa katika idara zote kiukamilifu. Hayao yamekaririwa na mwenyekiti wa muungano wawatu wanaishi na ulemavu wa Saku United Disabled Group John Boru Galgallo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipee Boru amesema[Read More…]

Subscribe to eNewsletter