Marsabit yatajwa kuwa miongoni mwa kaunti zinazokuwa kwa kasi kimaendeleo.
January 15, 2025
By Samuel Kosgei, Mabunge ya Kaunti wiki hii yanatarajiwa kuendeleza mjadala kuhusu BBI, wakati ambapo waakilishi wadi toka kaunti za Magharibi mwa Kenya wakidai donge nono la shilingi nusu-milioni mbali na ruzuku ya milioni 2 ya gari, kabla ya kupitisha mswada huo. Tayari Mabunge ya Siaya, Kisumu, na Homabay yamepitisha[Read More…]
By Samuel Kosgei Wafanyakazi katika Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji, ndio wa hivi punde kutuma risala za rambirambi kwa familia ya Seneta wa Garissa Yusuf Haji. Wafanyakazi hao, kupitia ujumbe, wamempa pole-zao Noordin Haji kufuatia kifo cha babake asubuhi ya leo, na kumtaja kama balozi mkuu[Read More…]
By Waihenya Isaac Jamaa za waadhiriwa wa mkasa wa mauaji ya Wagala kaunti Wajir bado wanadai haki miaka 37 baada ya unyama huo kufanyika. Wakizungumza jiji Nairobi Katika maadhimisho ya kukumbuka siku ilipotokea mauaji hayo,Jamii ya Degodia ameitaka serekali kuwalipa fidia waadhiriwa kama ilivyopendekezwa na Ripoti ya Kweli haki na[Read More…]
By Waihenya Isaac, Hali ya huzuni imekikumba kijiji cha Karugu kilichoko eneo la Gikuu Embu mashariki kaunti ya Embu baada ya mzee mmoja kumuua kwa kumkatakata mwanawe mwenye umri wa miaka 43. Inadaiwa kuwa maremu Alexender Munene aliyekuwa mlevi alikuwa ameenda kutatua mzozo baaina ya wazazi wake,wakati babake mzazi Benjamin[Read More…]
By Samuel Kosgei. Serikali imesisitiza kuwa itahakikisha miradi yote ya kitaifa imekamilika. Katibu katika wizara ya mawasiliano Jerome Ochieng amesema kuwa serikali imetenga mabillioni ya pesa kwa miradi hiyo na haitaiacha. Akizungumza katika eneo la Mogotio, kaunti ya Baringo, Ochieng amekana madai kuwa juhudi nyingi zimeelekezwa kwa BBI badala[Read More…]
By Samuel Kosgei, Kitengo cha maafisa wa upelelezi wa kukabiliana na dawa za kulevya, maafisa wa polisi kutoka kambi ya ya mafunzo ya Kedong na OCPD wa Naivasha wameharibu zao la bhangi lenye thamani ya Sh Milioni 27. Washukiwa 14 ambao walipatikana wakipalilia bhangi hiyo kwenye shamba la zaidi ya ekari[Read More…]
By Waihenya Isaac Vuguvugu la wakimbimzi wa ndani kwa ndani walioadhirika na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2007/2008 wamependekeza mageuzi ya sheria ili kuipa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC nguvu zaidi. Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Kitale waadhiriwa hao wametaja kuwa ni vyema[Read More…]
By Waihenya Isaac, Mwanamume mmoja ameaga dunia wakti akichimba kisima katika eneo la Alamanu mji wa Mararal katika kaunti ya Samburu. Akidhibitisha kisa hicho Kamanda wa polisi katika kaunti ndogo ya Samburu ya kati Alex Rotich amesema kuwa huenda marehemu alifariki kutokana na matatizo ya kupumua kabla afike mwisho wa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Watu tisa wamefariki katika ajali iliotokea hii leo asubuhi katika eneo la Soysabu GilGil kwenye barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi. Ajali hiyo iliyohusisha Matatu ya kampuni ya Mololine na Lori ilifanyika karibu na hospitali ya St Mary’s Ambapo tisa hao walifariki papo hapo. Akidhibitisha Kisa[Read More…]
By Machuki Denson. Kaunti ya Baringo imekuwa ya kwanza kuupinga na kuangusha mswada wa BBI. Hii ni baada ya patashika nguo kuchanika ndani ya bunge hilo jana. MaMCA watanao pekee ndio walihesabiwa kupioga kura ya kuidhinisha mswada huo wakati madiwani wenzao 30 wakipiga kura ya kuupinga. Madiwani watano walisusia zoezi[Read More…]